Karibuni Wikiendii!

Karibuni Wikiendii!

Lazima awe kimya maana kabla hajaongea hapa huwa anarudia rudia maneno anajua akichemka tu ataipata huku home, namlaza kwenye banda la kuku

Unataka Kongosho aue mtu? mi simo! hahahaha, but kwa kweli hapo pekundu ...
The Boss Mwenyewe kimyaaaaa...
 
Undugu wenu upi, leta vipimo vya DNA

hahahaha!!! Weee Kiboko! Much RESPECT...... Hata hivo i don't believe in incest even if mmoja wetu is adopted.....

AshaDii umeona hii warning haya sasa wewe na RR jaribuni kumgusa Boss muone...lol

PA now i know you meant good aiseee..... lol....

Ngoja Kongosho aje akuulize vizuri huo undugu wa Boss...lol.

Wapi Sweetie aje anitetee kua roho yadundia kwake tu! Dah.... Lol
 
hahahaha!!! Weee Kiboko! Much RESPECT...... Hata hivo i don't believe in incest even if mmoja wetu is adopted.....

PA now i know you meant good aiseee..... lol....

Wapi Sweetie aje anitetee kua roho yadundia kwake tu! Dah.... Lol
Leo Kongosho kaamua sijui sweetie wako naye kaenda kwenye kale kanyumba ndogo kake maana ni siku ya 10 kama sio mwezi haonekani nyumbani
 
Kwa kweli akutetee tu, mzaha mzaha hutumbuka usaha, nahangaika kulea, namwekea hadi mbolea ili astawi.

Ukorofi wake hutegemea kuandama kwa mwezi nishauzoea

@AshaDii na RussuanRoulette

You are playing with fire, mkigusa hiyo kitu nahakikisha napoteza viungo vyenu vyote muhimu.

Heee, nimemuogesha kaanza kupendeza eti mwataka mfanyeje?
Namjua vituko huwa haviishi kwake lakini nikimfukuza anaanza kulia.

Keshanisimulia yoote mlofanya, leo analala stoo for 2hrs.
I am sorry mamaa, mi nilisema mapema tu, hawakuniskia... Kwanza AshaDii alinambia eti na wewe unakuja ndio nikakubali kuwasindikiza, tulipofika huko hata jinalako sikuruhusiwa kutaja tena. NIlipoona unamtafuta nikawakumbusha ila wakajifanya hawaskii... Mi simo kwa kweli...
But in my capacity of "not dada yake" nilienjoy his company. niseme tu ukweli.
 
Leo Kongosho kaamua sijui sweetie wako naye kaenda kwenye kale kanyumba ndogo kake maana ni siku ya 10 kama sio mwezi haonekani nyumbani

Dah!! Ulikua wapi siku zooooote hizi kuniambia? Dayme!!! Hii post ni tosha kabisa mie kutafuta sleeping pills zipo pande gani na kutangaza nia ya Mzungu wa nne.
 
Kwa kweli akutetee tu, mzaha mzaha hutumbuka usaha, nahangaika kulea, namwekea hadi mbolea ili astawi.

Ukorofi wake hutegemea kuandama kwa mwezi nishauzoea

Hapa naona nimuite kessi hii ndo itaisha......lol... Dah
 
I am sorry mamaa, mi nilisema mapema tu, hawakuniskia... Kwanza AshaDii alinambia eti na wewe unakuja ndio nikakubali kuwasindikiza, tulipofika huko hata jinalako sikuruhusiwa kutaja tena. NIlipoona unamtafuta nikawakumbusha ila wakajifanya hawaskii... Mi simo kwa kweli...
But in my capacity of "not dada yake" nilienjoy his company. niseme tu ukweli.

Khaaa!! (with my face in an angry Frown...lolz):shock:

Roulette kigeu geu...
Roulette kigeu geu...
 
Dah!! Ulikua wapi siku zooooote hizi kuniambia? Dayme!!! Hii post ni tosha kabisa mie kutafuta sleeping pills zipo pande gani na kutangaza nia ya Mzungu wa nne.
Anakurusha roho huyo, usichukulie. Ukute ni mpango wake na Kongosho kukuharibia siku!
 
Ha ha ha, tafuta wa kukupeleka vekesheni Kitumbini, hawa watz wanatufanya tunakuwa maprofesa bila kwenda shule.

Dah!! Ulikua wapi siku zooooote hizi kuniambia? Dayme!!! Hii post ni tosha kabisa mie kutafuta sleeping pills zipo pande gani na kutangaza nia ya Mzungu wa nne.
 
Khaaa!! (with my face in an angry Frown...lolz):shock:

Roulette kigeu geu...
Roulette kigeu geu...
Sijakugeuka Alter ego. Ni kweli kabisa, na kama unataka nikuitie yule dada muhudumu alituamua wakati nilianza kukwambia kua Mr. anatafutwa. Nilikwambia mapema, kama ni vya kufichama tule kidogo turudi kesho. we ukataka tukae a whole week!
Kongosho alikua na nia ya kwenda sumbawanga nakwambia, sio mzaha. The Boss analala banda la kuku leo.
 
Back
Top Bottom