FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
hahaha Lizzy mie nimepewa siri hata 20 Lita haikutoshi mwaya nikaona niongezee na viroba kiodgoHahahha huo mchanganyiko sintaharibu mfumo wa chakula mkwe??Naona wewe, FL1 na Fynest lenu moja.
hahaha Lizzy mie nimepewa siri hata 20 Lita haikutoshi mwaya nikaona niongezee na viroba kiodgoHahahha huo mchanganyiko sintaharibu mfumo wa chakula mkwe??Naona wewe, FL1 na Fynest lenu moja.
hahaha Lizzy mie nimepewa siri hata 20 Lita haikutoshi mwaya nikaona niongezee na viroba kiodgo
MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Masapile ‘Babu Ambi' (pichani), anaendelea kusakamwa na wagonjwa wanaodai hawakuponyeshwa na dawa yake, wapo walioweka nia ya kumburuza mahakamani lakini mpya ni pendekezo la kumfilisi.
Madai hayo yanakuja wakati ambao Babu Ambi ameukata, ameshakamilisha ujenzi wa nyumba yake ya kisasa kijijini Samunge, pia anamiliki magari mawili ya bei mbaya, Toyota Land Cruiser (pick-up) na Isuzu (pick-up).
Babu Ambi, ameshahama nyumba chakavu aliyokuwa anaishi zamani na sasa anaendesha maisha yake kwenye mpya ya kisasa ambayo kwa Samunge, inaonekana ni kama Ikulu kwa jinsi inavyomeremeta.
Wakati Babu alizoea kukanyaga vumbi kwenye nyumba yake ya awali ya udongo, yenye chumba kimoja cha kulala, hivi sasa anatembea juu ya sakafu iliyotandikwa vigae (tiles) kila eneo.
Nyumba ya Babu, pia ina kila kitu ambacho hustahili kuwemo kwenye nyumba ya kisasa yenye hadhi ya mtu mwenye fedha, vile vile ina umeme wa mionzi ya jua na maji ya uhakika.
hahaha Lizzy mie nimepewa siri hata 20 Lita haikutoshi mwaya nikaona niongezee na viroba kiodgo
Mh Asprin umenifanya nicheke sana lol, haya mambo ya babu haya! karibu wk end ukitoka kwa TF
Kuna banana?
unajua ukinywa mbege nyingi unavimbiwa huo mchanganyiko utamsaidia kucheua
umenikumbusha mbege udenda umenitoka! Kitu cha kibosho kavu! Lol...
mamito upo nimekumis sana
Mbona nilikuwa nimeandika jamani au haukosoma ile card niliyokuachia chumbaniWala hata staki tena ..
umenialika mi wa mwishoooo.
Mate yanani dondoka sasa loooh
unajua utalala wapi leo..
Nafikir kachanganya na bangi...unywe Konyagi halafu uvute bangi unafikiri mchezoTF hii sasa ni mbinyo
:A S 465:😛hoto:nipo mpendwa nakumiss pia itabidi nikucheck maeneo ya tembo siyo?kwema lkn?
Naona mnaisakama sana Konyagi!Nafikir kachanganya na bangi...unywe Konyagi halafu uvute bangi unafikiri mchezo
Mbaya zaidi kavuta bangi ya ngaramtoni duuu, afu TF huyu asprin amekunywa zed sio konyagi bana...lolNafikir kachanganya na bangi...unywe Konyagi halafu uvute bangi unafikiri mchezo
wAAMBIE BANA...Hiyo ni ZED au Power!Mbaya zaidi kavuta bangi ya ngaramtoni duuu, afu TF huyu asprin amekunywa zed sio konyagi bana...lol
Hahaha! Kweli atakuwa amkenywa Zed na sio Konyagi ngoja tuache kuizalilisha Konyagi ya PJ.Mbaya zaidi kavuta bangi ya ngaramtoni duuu, afu TF huyu asprin amekunywa zed sio konyagi bana...lol
Kachanganya ZED na BananawAAMBIE BANA...Hiyo ni ZED au Power!
Konyagi hainaga tabia hizo!