Karibuni Wikiendii!

Hii Bbq imeshaisha ila nashangaa The Finest na Kongosho mnalazimisha kupasha mifupa moto kila siku jioni. Lengo lenu nini hasa?
 
leo-leo.jpg
Msisahau kuja na vinywaji nyama imeishaanza kuiva taratibu........

Dah!! Hii nyama inanipa hamu kweli aisee..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom