The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
The compound behind the house i live in...:eyebrows::eyebrows:....aiseee uwahi kabisa kuanzia saa nane hii nyama itakuwa tayari kwa ajili ya kuliwawapi hapa? count me in!
thenx TF!!View attachment 42545Msisahau kuja na vinywaji nyama imeishaanza kuiva taratibu........
Naleta bia. unakunywa nini?The compound behind the house i live in...:eyebrows::eyebrows:....aiseee uwahi kabisa kuanzia saa nane hii nyama itakuwa tayari kwa ajili ya kuliwa
Duhh bahati mbaya situmiii hiyo kitu haramu kwangu.
Nilijua tu wa Kwa Morombo na Kisongo watatokea hapa!nipo njiani................Gin chupa ngapi zinatosha
Kumbe mpwa mbuzi ni haramu kwako aisee usije kabisa..Duhh bahati mbaya situmiii hiyo kitu haramu kwangu.
Nilijua tu wa Kwa Morombo na Kisongo watatokea hapa!
Aisee, pale mahala uliponielekeza nilifaidi sana...tutayaongea zaidi kesho kwenye nanihiino!
Mbuzi walikuwa hawataki kula sijui waliweka mgomo sasa nikaona ni bora kuwaPiga kisu tu...dogo ule mradi wa mbuzi umeshafilisi??????lol
Njoo na Red Label halafu mwambie na MTM asisahau kuja na Black LabelNaleta bia. unakunywa nini?
Mpwa niko busy nikihamasisha watu wasiende kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru sababu wale jamaa wa Al shabab watatumia mkusanyiko wa watu kufanya uharifu
Njoo nazo tano nasikia PJ huwa anamaliza mbili peke yakenipo njiani................Gin chupa ngapi zinatosha
Kumbe mpwa mbuzi ni haramu kwako aisee usije kabisa..
Hahahaha!Mpwa niko busy nikihamasisha watu wasiende kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru sababu wale jamaa wa Al shabab watatumia mkusanyiko wa watu kufanya uharifu