Karibuni Wikiendii!

Usiogope mamaa, mi nilijua nitachelewa, nilifika saa 8 kasoro, nikaacha bia ila niliongoka na mguu, kipande cha maini na moyo. sasa ngoja nipashe pashe alafu tukakae nikwambie what you missed tukiwa safari

Now you are talking....lol.. And please tell what exactly I missed na pia usisahau kugusia na ile Property ya Kongosho ilifanya kituko gani tena...
 
Hahahaha, usinikumbushe wewe. Si tulisema mambo ya Safari yaishie safari? sasa unanikumbusha natamaniiiii turudi kule! njoo bwana tule nyama choma, tuongee ya Huku...
 
Kukumbuka is inevitable dear.... HAKUNA Jinsi....lol... Si wee mwenyewe wamuona hapa chini Boss (tongue still hanging); I think it should be done AGAIN!!

:tongue::tongue:
 
Kukumbuka is inevitable dear.... HAKUNA Jinsi....lol... Si wee mwenyewe wamuona hapa chini Boss (tongue still hanging); I think it should be done AGAIN!!
Unataka Kongosho aue mtu? mi simo! hahahaha, but kwa kweli hapo pekundu ...
The Boss Mwenyewe kimyaaaaa...
 
Kongosho is very understanding (mie nilifikiri yeye ndo alimtuma huko - nikashangaa tu kwa nini hakum-accompany...lol); PA kanibania nyama... Huo mguu ulichukua umebaki?
 
SASA I am determined!! Na hivi Roulette ana some sweet Rumors (hasa kuhusu the Boss) i can not Miss!
Alianzishiwa thread hapa, wakati hatupo. Kongosho alikua kesha amua aende sumbawanga, kilicho mkosea ni nauli tu! Ukiendelea utalogwa wewe!
Ila mi nilimshtua muhusika mapema, nilimwambia anatafutwa na kongosho, kama ni uongo aseme!
 
Kongosho is very understanding (mie nilifikiri yeye ndo alimtuma huko - nikashangaa tu kwa nini hakum-accompany...lol); PA kanibania nyama... Huo mguu ulichukua umebaki?
Upo, wewe njoo tu, mambo iko huku!!!
 
Alianzishiwa thread hapa, wakati hatupo. Kongosho alikua kesha amua aende sumbawanga, kilicho mkosea ni nauli tu! Ukiendelea utalogwa wewe!
Ila mi nilimshtua muhusika mapema, nilimwambia anatafutwa na kongosho, kama ni uongo aseme!

Say you are kidding.... Kongosho huyu huyu?? lol... Thread yahusu nini?? Care to put the Link (only if worth while)
 
@AshaDii na RussuanRoulette

You are playing with fire, mkigusa hiyo kitu nahakikisha napoteza viungo vyenu vyote muhimu.

Heee, nimemuogesha kaanza kupendeza eti mwataka mfanyeje?
Namjua vituko huwa haviishi kwake lakini nikimfukuza anaanza kulia.

Keshanisimulia yoote mlofanya, leo analala stoo for 2hrs.
 
Heee, nimemugesha kaanza kupendeza eti mwataka mfanyeje?
Namjua vituko huwa haviishi kwake lakini nikimfukuza anaanza kulia.

Keshanisimulia yoote mlofanya, leo analala stoo for 2hrs.

Kongosho whatever story you heard from him basi is not rite. Yule kakangu na kumbuka hio safari ilimuhusisha Sweetie ambae pia alikuwepo..... Ila tu wee mbane Roulette, she has the full details na niliwaacha peke yao.....lol... (kwa mambo alifanya naunga mkono kua alale stoo)
 
@AshaDii na RussuanRoulette

You are playing with fire, mkigusa hiyo kitu nahakikisha napoteza viungo vyenu vyote muhimu.

Heee, nimemuogesha kaanza kupendeza eti mwataka mfanyeje?
Namjua vituko huwa haviishi kwake lakini nikimfukuza anaanza kulia.

Keshanisimulia yoote mlofanya, leo analala stoo for 2hrs.
AshaDii umeona hii warning haya sasa wewe na RR jaribuni kumgusa Boss muone...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom