Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,388
FIligisi ya mbuzi jamani? ila mi nilificha nusu ya utumbo (zaidi ya mguu mmoja na moyo)... Njoo tuchangieTF filigisi bado zipo?
FIligisi ya mbuzi jamani? ila mi nilificha nusu ya utumbo (zaidi ya mguu mmoja na moyo)... Njoo tuchangieTF filigisi bado zipo?
jamani kuna kiungo kimoja cha huyu mbuzi
wanawake 'hawaruhusiwi' kula na sijakiona...ameiba nani? lol
msije kudhurika ???/lol
FIligisi ya mbuzi jamani? ila mi nilificha nusu ya utumbo (zaidi ya mguu mmoja na moyo)... Njoo tuchangie
Fanya haraka AshaDii asikuwahi, unajua anavo upenda...hahahaha RR jamani ,niko njiani naja mamy ..supu ya utumbo jamani mate yanadondoka
Nikugongee dadangu?ha ha ha ha, alikuwa jike
Pole natumia mchina, ningekugongea like
maana sasa hivi usipogonga like unafungiwa
Beware
Nikugongee dadangu?
My dia, Mi siwezi kukuficha kitu sababu sijakuiba chochote. Alie kukosea ni mtu wako kwa kweli, Kama kesi we nifungulie tu, but utakua umenionea bure.You pipo are trying very hard to confuse me.
Hivi ntapata wapi fomu za kufungua kesi The Hague?
Naona its getting out of hand now.
nyama imeisha?
Hahahaha, zimeisha, na hata kumbu kumbu yake imeisha pia. Shem umechelewa sana!
Mkwe natoka Out hivi sasa ukikutana na mie naomba ugeuze mlango
have great one
XOXOXO
RR missing you baby gal
enjoy ur weekend
Fanya haraka AshaDii asikuwahi, unajua anavo upenda...
nyama imeisha?
Usijali... Nilipoona wanaongezeka namba mbaya kama Boss nilichukua nikakufichia kipande (ambacho Boss is inquiring....lol)
Kha! hivi umesema tu in general au umemaanisha? maana ni kweli kati ya wewe na the boss mwenye kisu kikali ndie atakula nyama... ngoja nikalale sasa, nimesha haribu vya kutosha.orait baby....I can share kidogo icho kipande na the boss.....on condition kwamba I hold the knife....
orait baby....I can share kidogo icho kipande na the boss.....on condition kwamba I hold the knife....
Kha! hivi umesema tu in general au umemaanisha? maana ni kweli kati ya wewe na the boss mwenye kisu kikali ndie atakula nyama... ngoja nikalale sasa, nimesha haribu vya kutosha.
Kha! hivi umesema tu in general au umemaanisha? maana ni kweli kati ya wewe na the boss mwenye kisu kikali ndie atakula nyama... ngoja nikalale sasa, nimesha haribu vya kutosha.
Kuliwa, nyama ililiwa kweli. Ongea na mpenzi wako, si amesema kuna kitu the boss alitaka ila yeye kakuwekea? basi akupe sasa. Nalog off (source: washawasha) hahahahahahaHahahah RR nyama hapa si nimeambiwa imeshaliwa? as true as it can be...whatever is remaining ndo tunaijadili hapa....lol:A S 465: probably u need a nap...lol
Kuliwa, nyama ililiwa kweli. Ongea na mpenzi wako, si amesema kuna kitu the boss alitaka ila yeye kakuwekea? basi akupe sasa. Nalog off (source: washawasha) hahahahahaha
Everything sorted out...lolKuliwa, nyama ililiwa kweli. Ongea na mpenzi wako, si amesema kuna kitu the boss alitaka ila yeye kakuwekea? basi akupe sasa. Nalog off (source: washawasha) hahahahahaha