Karibuni Wikiendii!

Karibuni Wikiendii!

Hahahaha! Ngoja nijaribu kumuombea msamaha kwako Russian na AshaDii bado wanaendelea kumsitiri au wameacha....lol
 
lol.......................dogo hivi huyu mbuzi wako ana tbs????
usituletee kesi na kazi za kwenda mahakamani now lol
 
am watching u guys.
RR, si uliapa huyu ni kaka ako?
Huko vakesheni haikutosha?
Kaka yangu? upande wa mama, upande wa baba? mi nilisema tu ukweli, sio kaka yangu. AshaDii ndio alisema ni kaka yake, ila kwa adoption.
 
You pipo are trying very hard to confuse me.

Hivi ntapata wapi fomu za kufungua kesi The Hague?
Naona its getting out of hand now.

Kaka yangu? upande wa mama, upande wa baba? mi nilisema tu ukweli, sio kaka yangu. AshaDii ndio alisema ni kaka yake, ila kwa adoption.
 
Back
Top Bottom