Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
Kama kuna vitu hadi mlisahaulishana sasa namhamishia kwenye banda la punda.
Simsamehi tene, Khah hadi anasahau zana mfukoni?
Hii sasa dharau
Simsamehi tene, Khah hadi anasahau zana mfukoni?
Hii sasa dharau
Msamehe tu, ni vitu vinatokea. Ila mwambie kuna kitu nilisahau mfukoni mwake... please.