Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 10,092
- 15,673
Kama ni hivyo hilo ni wazo zuri sana. Ata mm kuna kipindi niliwaza hawa matajiri walio jaliwa mabilioni ya pesa wanashindwa nn hii kitu. Ukiwa na mabilioni yako unajenga tu uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dar es Salaam, yaani uwanja uwe wa kisasa kweli kisha kazi yako unakuwa unazikodisha timu zinatumia.
Ndio Mkuu, michezo una kusanya watu wengi.
Kwa pembeni unaweka Vyakula na Vinywaji.
Kama ilivyo pale viwanja vya Sigala Temeke Chang'ombe.