Karibuni nitapata Shilingi milioni 100: Naomba ushauri wa namna ya kuiwekeza

Kama ni hivyo hilo ni wazo zuri sana. Ata mm kuna kipindi niliwaza hawa matajiri walio jaliwa mabilioni ya pesa wanashindwa nn hii kitu. Ukiwa na mabilioni yako unajenga tu uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dar es Salaam, yaani uwanja uwe wa kisasa kweli kisha kazi yako unakuwa unazikodisha timu zinatumia.
Ndio Mkuu, michezo una kusanya watu wengi.
Kwa pembeni unaweka Vyakula na Vinywaji.
Kama ilivyo pale viwanja vya Sigala Temeke Chang'ombe.
 
mimi nikipata million 100.kitu cha kwanza lazima sanchoka na poshyqueen niwachakate.itafaa kama ntawachata kwa mpigo.huyu ananyonya koni mwingine ananipa denda.maisha saaaaafi kabsa

mawazo yangu na yaheshimiwe.sema amen
Ha ha haha hahaha haha
 
Kama ni hivyo hilo ni wazo zuri sana. Ata mm kuna kipindi niliwaza hawa matajiri walio jaliwa mabilioni ya pesa wanashindwa nn hii kitu. Ukiwa na mabilioni yako unajenga tu uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dar es Salaam, yaani uwanja uwe wa kisasa kweli kisha kazi yako unakuwa unazikodisha timu zinatumia.
Kama alivyofanya Mnyeti wa Gwambina FC.
We unaanza tu na kiwanja cha kawaida.
Jinsi kinavyotumika kinakupa mtaji wa kujenga majukwaa.
Sema ni Long Term Business, wengi huwa hawapendi.
 
Kwahiyo kuna watu wanadownload pesa kimasihara?
Wapo, yaani anaamka anasoma gazeti akimaliza kunywa chai tayari 500,000 imeingia, anaenda Masaki au Oysterbay anafanya meeting mbili tatu halafu anapata lunch anapokea email 1,000,000 imeingia akitoka hapo anampitia baby wake kutoka kazini anampeleka shopping anarudi kwenye apartment yake na baby anaangalia CNN au BBC kujua dunia inaendaje anapokea email tena 500,000 imeingia...ndio maisha ya walioiweza forexi hao🤣🐒🤸
 
Biashara hazifunguliwi kama uyoga kuna mazingira na kubwa zaidi ni interest ya mhusika.
Je wewe una pendelea vitu gani,Kuna Kilimo,ufugaji,afya,ulanguzi,michezo,madini,science,ujenzi,.fields ni nyingi sana tuambie wewe unataka uniwekeze kwenye field IPI hobby yako IPO wapo hasa?
 
Habari wadau!

Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini.

Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu sijajua cha kufanya. Nipeni wazo niifanyie nini?
Chukua kiasi cha pesa nunua bond kupitia broker huku unatafakari ishu zingine Za kutengeneza pesa
 
Sijui riba ni kiasi gani Mkuu. Ni vizuri aende bank mbili tatu kuangalia kuna uwezekano riba zinatofautiana japo tofauti si kubwa kivile.

MFANO AKIWEKA HIYO 100M FIXED ACCOUNT NMB KWA MIEZI 3 ANAWEZA KUGAIN NGAPI KWA RIBA YA SASA?
 
Wapo, yaani anaamka anasoma gazeti akimaliza kunywa chai tayari 500,000 imeingia, anaenda Masaki au Oysterbay anafanya meeting mbili tatu halafu anapata lunch anapokea email 1,000,000 imeingia akitoka hapo anampitia baby wake kutoka kazini anampeleka shopping anarudi kwenye apartment yake na baby anaangalia CNN au BBC kujua dunia inaendaje anapokea email tena 500,000 imeingia...ndio maisha ya walioiweza forexi hao🤣🐒🤸
Mkuu pole sana unahangaika na comment za forex kila mahali.
 
Hata kama utalipata kwa mtu binafsi, ktk manunuzi washirikishe viongozi wote wa kijiji.
Anza na Mjumbe wa kitongoji
Mwenyeki wa kitongoji
Mwenyekiti wa Kijiji
Mtendaji wa kijiji
Uhakikisha wote wanasaini kwenye hati ya manunuzi.
Bei ya mashamba maeneo ya Pwani vijijini wastani ni 4m hadi 8m kwa Ekari moja.
Utapeli umeshamiri sana tena wanashirikiana na wenyeviti wa vijiji, mie nilikuta wameuza heka zangu baadhi na za watu wengine nilikomaa na mwenyekiti zikarudi fasta waliouziwa kiutapeli ikala kwao ,ni maeneo ya kibaha
 
Ndio maana ni lazima uwashirikishe viongozi wa ngazi zote wa Kijiji, pia ni lazima ufanye utafiti wa Historia ya Shamba husika.
Hakikisha hati za awali zote unazipata toka migao ya kwanza ya vijiji.
Sasa hivi kila unachonunua cha bei kubwa ni lazima ujiridhishe vya kutosha.
Pamoja na mwenye shamba kuishirikisha familia yake yote. Mashamba ya kununua bado yapo nchi hii.
 
Shida emotion yako iko weak sio aina ya biashara .

Dodoma kuna uhaba sana wa lodge tafuta gori zuri makulu jenga lodge ya vyumba vitano self utoze 20000 per night
 
Nunua lodge au gest kijana ukiotea ata mbil unazipata na kila ktu ndan watu wanauza iyo mirad
 
Back
Top Bottom