Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Nimepata taarifa kutoka kwa jamaa yangu mwanajeshi wa kambi ya lugalo kuwa wameambiwa wajiandae na kuelekea k.koo maramoja.
 
hivi hawa waislamu wakoje?yaani siku ya kutoka kuswali ndo wanakinukisha.Au huko misikitini ndo huwa wanapata munkari na kupandisha mzuka?

Kwani haujui kuwa majini siku hiyo ndo huwa yana nguvu zaidi?.
 
(WHATEVER YOU DO YOU HAVE TO KEEP MOVING FOWARD). mkuu andrew : Avatar yako nimeielewa ingawa mwenyewe huielewi. unaonaje uibadilishe. manake unaonekana haupo tayari kubadilika na wanaoleta mabadiliko chanya.

Mkuu Schlumberger,Hiyo siyo Avatar,ni Signature.
Umetoa judgement isiyo na evidence,ninaonekana SIPO TAYARI KUBADILIKA NA WANAOLETA MABADILIKO CHANYA kivipi?.
Nilichoandika ni quotation za Maaskofu,sijaweka msimamo wangu hapo.
Kama unataka ujue msimamo wangu ni huu,mimi ni mpenda mabadiliko wa hali ya juu,ila siwezi kupenda mabadiliko kwa kuona watu wasio na hatia wakimwaga damu zao.
Imani yangu haipo katika kutetea mauaji au vurugu.Mabadiliko yana njia zake za kufuata.BUSARA inatakiwa ituongoze.
Avatar yangu,ninaielewa na ndio maana nimeiweka.Kama nawewe pia umeielewa usisahau kuwa tunatofautiana katika viwango vya uelewa.SO SINA MPANGO WA KUIBADILISHA NINAIBORESHA.Ninasonga mbele.
 
Magari manne kupita yamejaa wanajeshi na silaha kupita yanaenda town si neno, neno ni wanaenda fanya nini? Fuatilia utujuze!!!
Naona Jeshi la wananchi wanaanza kusahau majukumu yao!
 
Hii ni zaidi ya uislamu niujuao! Mungu epusha hii balaa

Vurugu hizi zilipangwa kikamilifu kabisa tangu muda mrefu sana.
Zikatafutiwa 'kisingizio' cha 'mtoto kukojolea quran'.
Sasa mtu atajiuliza, hivi ghasia zote hizi zimazotokea hapa Dar na Zanzibar, ni kwa sababu ya 'mtoto kukojolea quran' ????

Hali hii inaniokumbusha wakati ule wa mzee ruksa, ambapo waislamu walivunja na kuchoma moto mabucha ya nyama za nguruwe kule Manzese.
Hii nayo ilitokea baada ya 'mtoto wa kiislamu kununua nyama ya nguruwe buchani' !!!!
 
image10.png
 
wanajeshi wanatangaza raia wema kuondoka haraka kariakoo kuelekea makwao.hali haiko vizuri.
 
Ndugu watanzania, tunakwenda wapi kwa mambo haya? je tunataka uhusiano wetu tuliojijengea kufa katika sura ya udini? Tukumbuke tumeoleana na hivyo tuna wajomba na mashangazi katikpande hizi mbil. Mnataka watoto hawa wasituite wajomba?
 
Watz tujue tu kuwa nchi inasheria na inauwezo wa kudeal na yeyote alimradi hataki kufuata sheria halali za nchi,makamanda wakekula kiapo cha utii kulinda nchi na mipaka yake so kama watz tutambue kuwa si busara hata kidogo kuchokonoa amani tulonayo.
Wote ambao wanadhani wapo maeneo yenye vurugu na hawahusiki ni vema wakaondoka jeshi la polisi na vyombo vingine havina wa kumuonea haya endapo yupo katika maeneo hayo.
 
Liwalo na liwe. Tupeni mahakama ya kadhi, vinginevyo, nchi haikaliki!
 
Nikiwa maeneo ya Magomeni naziona gari nne aina ya roli zenye wanajeshi wa kutosha wakiwa na silaha za kutosha wakielekea mitaa ya Kariakoo/Jangwani.

Kwa upande wa hapa Magomeni, msikiti wa kichangani wametulia baada ya FFU kupiga mabomu ya machozi matatu na gari la kuwasha limepaki katika mlango wa kuingilia msikitini.

waende zao malawi wakatetee ziwa,,,,,,,,
 
ni kweli jamani mie niko kinondoni manyanya hapa hadi helicopter zinapita,mabomu yameshatupwa watu wanakimbilia maji sasa,na tumeona malori kama manne yamezaja wanajeshi,kwa kweli hali si salama,tuzidi kuombajamani
 
Takbirrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr................Allah Akbarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom