Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,041
- 103,474
Ww umemuachia nani anyeshee maua kwenye kaburi la dhalimu?Badala ya kwenda kumsalimia huyo Gaidi huko Segerea unatoa utopolo wako hapa JF.
Ww umemuachia nani anyeshee maua kwenye kaburi la dhalimu?Badala ya kwenda kumsalimia huyo Gaidi huko Segerea unatoa utopolo wako hapa JF.
Uongo mtupu. Leo nilikuwa muumini katika kanisa hili na hakukuwa na kitu kama hichiLeo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe , ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania .
Umati wa waumini umehudhuria , huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa .
Mungu ibariki Chadema
kama ulikimbia kutoa sadaka huwezi kujua yaliyojiriUongo mtupu. Leo nilikuwa muumini katika kanisa hili na hakukuwa na kitu kama hichi
Uliza nani katoa zaidi leo. Acha kuwadanganya watukama ulikimbia kutoa sadaka huwezi kujua yaliyojiri
Mh.Mbowe ni muumini ana HAKI YA KUOMBEWA.....Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe , ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania .
Umati wa waumini umehudhuria , huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa .
Mungu ibariki Chadema
Pole kwa maumivuUliza nani katoa zaidi leo. Acha kuwadanganya watu
Unachukii kama Mama yakoo weweBadala ya kwenda kumsalimia huyo Gaidi huko Segerea unatoa utopolo wako hapa JF.
Hawalijui hili,kuna mmoja alikuwa akishindana na viongozi wa diniOgopa sana dini zikianza kupaza sauti zao kwenye nyumba za ibaada bila hata kiongozi wa ibaada kujua.
Ukikataliwa Duniani na Mbinguni umekataliwa.
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe , ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania .
Umati wa waumini umehudhuria , huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa .
Mungu ibariki Chadema
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe , ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania .
Umati wa waumini umehudhuria , huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa .
Mungu ibariki Chadema
Mkuu hawajaanza leo kubuni tuhuma za ugaidi umesahau issue ya Mwigulu alipombambiza kesi ya aina hiyo Lwakatale??Kweli kabisa hata mimi siamini hawa wezetu wametumia weledi wakitaalama kubuni tuhuma hizo
Wakati wakiendelea kumuombea kwa Mungu Mheshimiwa Mbowe mimi nimeshaandaa zana za kivita kesho sikilizeni taarifa njema za damu ya kijani kumwagikaLeo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu zikitolewa.
Mungu ibariki Chadema
True? Hizi ni chokochoko yaani bakwata na RC ni ccm afu KKKT ni chadema?Mch. Baba Askofu, Dr Frederick Shoo (PhD) Naye kafanya ibada ya aina hiyo hiyo. Mungu aibariki Tanzania
Mungu awasamehe waliopanga njama ya kubambikiza kesi hiiMungu IBARIKI CHADEMA
Mungu mpiganie Mwenyekiti kisha mtie nguvu
Mungu wasamehe watesi wake kwakuwa hawajui walitendalo
Kuomba Mungu kwako ni utopolo?Badala ya kwenda kumsalimia huyo Gaidi huko Segerea unatoa utopolo wako hapa JF.
Kwani hao bado wapo selikaliniSukuma gang ni kundi la wahalifu tu , Kwani viongozi wao Bashiru na Katibu wake Sabaya ni wasukuma ?