Leo kwenye Ibada ya Miaka 60 ya Uinjilishaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) sijamuona Mbowe

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
590
911
Leo kwenye Ibada ya Miaka 60 ya Uinjilishaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) sijamuona muumini safi Bwana Freeman Aikaeli MBOWE, Rafiki wa kufa na kuzikana na Dkt Shoo. Je amelitosa kanisani la KKKT na kuungana na Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume?
IMG-20230821-WA0524.jpg
 
Back
Top Bottom