Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

Status
Not open for further replies.
Aisee, na Waislamu watakuja kutoa waraka kuhusiana na uchaguzi.
Wahindu nao watakuja na waraka.
Wapagani nao watakuja na waraka nk.

Kama wako 26 mil basi tambua na wengine nao wako zaidi 34mil.
China hakuna Catholic, Russia hakuna Catholic, India hakuna Catholic, Japan, South Korea hakuna Catholic, Indonesia, Malyasia, Singapore, Thailand nk. Lakini wanaishi na wana maendeleo na chumi zao ni kubwa.

Tuache kuinvolve sana haya mambo ya dini na siasa siasa hizi, Serikali inapaswa kuchukua maamuzi magumu sana, juu ya haya masuala.

Piga marufuku kabisa kuongelea masuala ya siasa na wanasiasa misikitini na makanisani, Piga marufuku viongozi wa dini kwenye siasa,wabaki huko huko makanisani na misikitini, Piga marufuku wanasiasa kwenye harambee za makanisa na misikiti waende tu kama waumini wa kawaida na wachange kama watu wa kawaida.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani
Kwa nini kila Rais Mkristo huwa ni mkatoliki?
 
Difference ni kwamba wao wanaongea wa logic ila mashehe wenu wakishiba ndio wanaongea,maana wengi ni vichwa wazi.
Wameshindwa kung'amua logic kwenye imani yao waje waongee logic kwenye siasa!?
 
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Tuleeteeni vitu vya kulikomboa taifa hiili!
 
Wachukue hatua Ili tuwachukulie hatua
Unaweza?
Hili siyo kanisa la mtu mmoja kama la Gwajima. Hadi CDF mstaafu aliye simamia Katiba anasali humo. Tena kuimba kwaya kabisa.
Kumbuka a military General never retires...
Especially a Four star General.
Hata mkulu alienda kuripoti kwa The Pontiff himself at Holy See Vatican City.
 
Kawakamateni muwafungie Sasa hivi unajua nguvu ya kanisa Katoliki wewe manzi au unaropoka ropoka unadhani ni hicho genge lenu la wahalifu la Sa100 kama huamini Hilo mbona huyo Mzee wa Msoga au huyo Sa100 na washirika wake hawawajibu😂😂 Hujui mpka TISS wanapikwa ndani ya Seminary za Kikatoliki nachomaanisha wanaanza kufanya recruitmet kwa hawa vijana na taarifa zao wanaomba nyie hamjui Siri ya hili Kanisa na ushawishi wake na Hata kimataifa kama huamini tafuta mtu uulize uambiwe mengine ni mazito yako nje ya madam kukujibu watoto kama nyie wanaonuka maziwa
TISS hu-recruit kila sehemu,nimesoma islamic school na wengi tu walikua recruited na TISS, nothing special,membe alikua mmisionari lakini kanisa halikumpenda,hao TISS missionari ndiyo wanaoyatoa ya ndani ya church kwa TISS,taifa kwanza
 
Unaweza?
Hili siyo kanisa la mtu mmoja. Hadi CDF mstaafu aliye simamia Katiba anasali humo. Tena kuimba kwaya kabisa.
Kumbuka a military General never retires...
Especially a Four star General.
Never retires means he'll be on the side of the army forever
 
Kwani hawana haki ya uTanzania wao?
Kwa nini uangalie dini inayowahusu na kuacha kuona uTanzania wao. Hao wengine wamekatazwa na nani?

Leo hii hata shetani akisimamia HAKI ya waTanzania, nitakuwa upande wake bila kujali yeye ni shetani.

Yes, Wana haki yakuzungumza kama Watanzania yanayohusu siasa za nchi yao, lakini sio busara kuzungumza kama Kanisa Catholic masuala ya siasa za Tanzania.

Unajua kwamba Kanisa Catholic Tanzania wanareport Kwa Pope Vatican na Pope ni kama kiongozi wa Vatican yenye mamlaka kamili na Balozi Tanzania?

Huoni kama wanachofanya maaskofu wakiwa kanisani kwenye mimbali ni kama uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi unaofanywa na nchi ya Vatican?
 
Hujui unalosema wewe. Viongozi wakisema waumini wetu hakuna kupiga kura hiyo siku ya uchaguzi hakuna mkatoliki atapiga kura.


..hawawezi kusema.

..Watz tayari tunajua chaguzi zetu ni boshen.

..tukienda kupiga kura itakuwa ni ujinga wetu wenyewe, tusilaumu viongozi wa dini.
 
Kwa nini kila Rais Mkristo huwa ni mkatoliki?

Labda christians wenyewe ndio wameamua uwe hivyo.

Namimi nitakuuliza, kwanini MaRais Tanzania ni Muslims na Christians na sio Pagan, Hinduis nk?

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
 
..hawawezi kusema.

..Watz tayari tunajua chaguzi zetu ni boshen.

..tukienda kupiga kura itakuwa ni ujinga wetu wenyewe, tusilaumu viongozi wa dini.
Wakisema itakuwa inakoleza moto zaidii japo ni kweli watu wengi hawatashiriki huu uchafuzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom