gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,285
- 17,759
RC ni taasisi ya dini au siasa?..shida yao na samia ni nini mpaka vurugu zote hizi?Hako huwa kapumbavu usijibizane nako.
RC ni taasisi ya dini au siasa?..shida yao na samia ni nini mpaka vurugu zote hizi?Hako huwa kapumbavu usijibizane nako.
Watu wakajipanga, ghafla kavuta fomu,watu wakaja na novena
inamankuswekeWachukue hatua Ili tuwachukulie hatua
Uchaguzi hauwezi kuwa kwenye shaka kubwa,wakuu wa mikoa wasimamizi wakuu usalama wakati wa uchaguziYafuatayo yanfurahisha,usijali wewe sikiliza hali si hali hadi wakuu wa mikoa yote Tanganyika wameitwa Dar si mchezo kwa hakika uchaguzi mkuu utakuwa katika shaka kubwa.
2020 walikua wapi?Kwakuwa kushiriki wizi ama vitendo viovu ni dhambi, kwakuwa wapo waliopotezwa na wengine kufungwa bila maelezo na kwakuwa vitisho na kupigwa Kwa padri kumejibiwa Kwa kebehi na dharau tunaomba kanisa lisimame na liseme...
Kushiriki uchaguzi huu ni kushirikiana na waovu,wauwaji,watesi,watekaji,wezi na wahuni wanaohatarisha amani ya nchi. TUSISHIRIKI UCHAGUZI!!
Binafsi nafikiri tupo pazuri sana , kuliko jana ni haki ya kila mmoja wetu kupambania taifa hili, tuko pazuri sanaHeshima sana wanajamvi,
Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million
WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.
Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
RC ni taasisi ya dini au siasa?..hayo mazungumzo madhehebu mengine hufanya?Kuna mazungumzo yanaendelea Kati ya Kanisa (Rc) pamoja na Serikali
Wanamtumia Mseminari aliyepewa una namba 2 Mwezi January
Hivyo sio rahisi kuja na Waraka kwasasa unless washindwe kukubaliana
Inama wewe nikusweke
Nenda kasome historia ya hiyo Taasisi na influences zake kwenye Siasa za Nchi hiiRC ni taasisi ya dini au siasa?..hayo mazungumzo madhehebu mengine hufanya?
That's what we're getting rid of..kimsingi siyo ushawishi bali kudekezwaNenda kasome historia ya hiyo Taasisi na influences zake kwenye Siasa za Nchi hii
Tulisema July-agost, agosti inaenda mwishoNimenunua gunia la popcorn nakula punje moja moja mpaka Octoba
Heshima sana wanajamvi,
Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million
WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.
Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Wachukue hatua gani na wameshamtoa Nchimbi?..Nyaraka zimepitwa na wakati, na zimezoeleka.
..Wachukue hatua, kwa kufanya jambo jipya.
Mimi ni mtazamaji, yangu macho na popcornTulisema July-agost, agosti inaenda mwisho
Waliopo kwenye hivyo viti wanajua zaidi kuliko wewe mpiga zumariThat's what we're getting rid of..kimsingi siyo ushawishi bali kudekezwa
Nakwambia hakuna kitu zaidi ya kuzowea kudekezwa,sasa mama hadekezi akitiwa ujasiri na jk, ndiyo unaona povu kwa JKWaliopo kwenye hivyo viti wanajua zaidi kuliko wewe mpiga zumari
Tuwaombee wakubaliane katika kujenga umoja kabla ya Uchaguzi Mkuu, ila kama itashindikana huo Uchaguzi unaweza kupelekwa mbele hata Kwa miezi kadhaa