Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,513
- 283,980
Kwa mara ya kwanza na ya mwisho nilinunua nakala ya gazeti la uhuru
Kwa mara ya kwanza na ya mwisho nilinunua nakala ya gazeti la uhuru
Tuanze na wewe mpaka sasa umeshachukua hatua gani ? Au ndio upo geto kwa masela, wahuni wanaku-baby-sha
Umeshakanyaga mafuta leo? au una maji ya upako?RC ni kitu gani kwani!?.. wanadhani wafuasi wao walioajiriwa serikalini watawatii,never..RC wakitaka wahame hata nchi waende vatican,tz itabaki na itasonga bila wao
Kobe akiinama..........tangu Katibu wa Baraza ashambuliwe na wao kukaa kimya mamlaka zimewadharau.
TUTAKUWEPO 🫵🏿Novena haijafanya kazi?..acha watoe nyaraka, dying horse,nchi hii si ya kan
Hujui chochote,Novena haijafanya kazi?..acha watoe nyaraka, dying horse,nchi hii si ya kanisa
Haters wa Samia mtakuwa mna matatizo ya kijinsia. Hivi kwa waraka gani Hadi Samia aogope?!!!!! Mamamamae, wameanza kumuandama tangu muda tu lakini hajateteleka Bado sababu Hana kosa lolote lile alilowatendea.WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.
Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Wewe ni Panya mdogo sana usifikiri RC ni Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Kaa kwa kutulia.
Nakumbuka kulikuwa tabiri nyingi,mara Julai haifiki,mara ikawa Agusti 7, sasa wamesogea mbele na Sept 11 😂....Hii nchi inapitia mitetemo uchwara mingi.
Kawaida ni divide and conquerUnaweza?
Hili siyo kanisa la mtu mmoja kama la Gwajima. Hadi CDF mstaafu aliye simamia Katiba anasali humo. Tena kuimba kwaya kabisa.
Kumbuka a military General never retires...
Especially a Four star General.
Hata mkulu alienda kuripoti kwa The Pontiff himself at Holy See Vatican City.
Safi sana.Wachukue hatua Ili tuwachukulie hatua
Kutoshiriki uchaguzi.nadhani uko sahihi. ILA, sasa waende a step forward kama ipi? Waamrishe vita? wana silaha? Pendekeza
Mkuu unataka washike bunduki waingie vitani? Wao kama viongozi wa dini huishia kukemea uovu tu, Wala hawapigani ngumi..tangu Katibu wa Baraza ashambuliwe na wao kukaa kimya mamlaka zimewadharau.
Hakuna jambo kwa viongozi wa dini wanaloweza kufanya, wao wajibu wao ni kuhubiri haki na kukemea uovu. Viongozi wa dini sio kikundi cha waasi kiasi kwamba watashika bunduki kuingia msituni..Nyaraka zimepitwa na wakati, na zimezoeleka.
..Wachukue hatua kwa kufanya jambo jipya.
Wanachojivunia ni wafuasi, ndiyo wana-blackmail watu,hizo nyakati zimepita
Huku kila mtu nabii, wanatoa ramli tu.Nakumbuka kulikuwa tabiri nyingi,mara Julai haifiki,mara ikawa Agusti 7, sasa wamesogea mbele na Sept 11 😂....
Sawa ,tumekusikia mtoto wa kahabaVyama vya kihuni na wagombea wajinga!?..una akili timamu wewe!?..chama cha kihuni kinapataje usajili!?.. mgombea kufungwa,mgombea gani kafungwa!?..mtu akichukua form ya kugombea kisha akavunja sherii asichukuliwe hatua!?..nyi mna nini vichwani,maji!?
Kwani kipya kipi wamewai fanya kipindi cha Jakaya walitoa iyo mikaratasi kila week ili kumuunga mkono Dk Slaa tuambie ww DK Slaa alishinda. Uchaguzi??Wewe ni Panya mdogo sana usifikiri RC ni Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Kaa kwa kutulia.
Porojo tu waendelee tu kujichanganya watoe mikaratasi ya kutosha lkn October 28 tunatiki kwa wingi sana.Kuna mazungumzo yanaendelea Kati ya Kanisa (Rc) pamoja na Serikali
Wanamtumia Mseminari aliyepewa una namba 2 Mwezi January
Hivyo sio rahisi kuja na Waraka kwasasa unless washindwe kukubaliana