Kwakuwa kanisa linapaswa kuelekeza waumini wake kutotenda dhambi bila ya WOGA Wala kutishwa na binadamu yeyote mwanamke ama mwanaume...
na kwakuwa kushiriki wizi ama vitendo viovu ni dhambi...
Kunawatu wameuwawa, wamepotezwa na wengine kufungwa mpaka sasa bila uhalali wowote na kumeibuka vitisho na kupigwa kwa padri,waumini huku wenyedhamana wakijibu kwa kebehi na dharau...
tunaomba kanisa lisimame na litamke kwa kauli thabiti...
Kushiriki uchaguzi huu ni kushirikiana na waovu,wauwaji,watesi,watekaji,wezi na wahuni achache wanaohatarisha amani ya watu na nchi yao.
TUSISHIRIKI UCHAGUZI MPAKA MUAFAKA WA KITAIFA UTAPOFIKIWA!!
AMEN