Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

Status
Not open for further replies.
RC ni taasisi ya dini au siasa?..shida yao na samia ni nini mpaka vurugu zote hizi?
Kila mtu ana wajibu wa kuifuata na kutii Katiba hii na sheria za Jamhuri ya Muungano.Kila mtu ana haki,kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria,kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 26)
 
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Duuh kwa hiyo tusubiri Tetemeko?
 
Kanisa ndio jawabu la kila kitu. Kama kanisa likinya
Maza na mambo yanaenda ndivyo sivyo hata Mungu Atatushangaa.

Hakuna kiongozi yeyeto wa kisiasa Aliye juu ya watumishi wa Mungu.

Nilazima kama kiongozi na Mwenye hofu ya Mungu huwezi kuwadharahu watumishi wa Mungu kama Una Nguvu Nyingine tofauti na Mungu wa MBINGU na Nchi.
 
Kila mtu ana wajibu wa kuifuata na kutii Katiba hii na sheria za Jamhuri ya Muungano.Kila mtu ana haki,kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria,kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 26)
None sense,out of context
 
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Pole pole kashasema uchaguz ushaisha lakin. Ni tarehe tu inasubiriwa
 
..Nyaraka zimepitwa na wakati, na zimezoeleka.

..Wachukue hatua, kwa kufanya jambo jipya.
Hujui unalosema wewe. Viongozi wakisema waumini wetu hakuna kupiga kura hiyo siku ya uchaguzi hakuna mkatoliki atapiga kura.
 
RC ni kitu gani kwani!?.. wanadhani wafuasi wao walioajiriwa serikalini watawatii,never..RC wakitaka wahame hata nchi waende vatican,tz itabaki na itasonga bila wao
Wewe unajifurahisha tu hujui chochote. R.C ikitoa maelekezo waumini wake huyatii. Mathalan wakitangaza kuwa waumini wasipige kura mwaka huu kutokana na kukosekana haki usidhani hawatatii. Hadi viongozi Serikalini watatii !
 
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Hawa jamaa wangegombania haki yao ya kuoa kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom