Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

Status
Not open for further replies.
Huoni kama wanachofanya maaskofu wakiwa kanisani kwenye mimbali ni kama uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi unaofanywa na nchi ya Vatican?
Hakuna nchi ya Vatican; hiyo utakuwa umeitengeneza mwenyewe.
 
TISS hu-recruit kila sehemu,nimesoma islamic school na wengi tu walikua recruited na TISS, nothing special,membe alikua mmisionari lakini kanisa halikumpenda,hao TISS missionari ndiyo wanaoyatoa ya ndani ya church kwa TISS,taifa kwanza
Taifa gani ili la wakina Rostam,GSM na Abdul mafisadi? We mtoto ni mpumbavu kweli
 
Hakuna nchi ya Vatican; hiyo utakuwa umeitengeneza mwenyewe.

ni kweli hakuna nchi ya Vatican, nimeiterm kama nchi Kwa kigezo cha kuwa na mamlaka kamili inayojitegemea pamoja na Balozi zake nchi tofauti tofauti, hiyo ni kama hadhi ya nchi tu.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
 
Hao ni watu wenye PHD na taaluma na elimu ya juu. Ukiona wanazungumza ujue tatizo ni kubwa mno na wameona hatari + damage ijayo sio ndogo.

Ilipaswa hata kigezo cha mtu kuwa mbunge awe na degree kama minimum requirement.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Tuna shingo zenye madini ya Almasi, zinashupaa hizo!
 
ni kweli hakuna nchi ya Vatican, nimeiterm kama nchi Kwa kigezo cha kuwa na mamlaka kamili inayojitegemea pamoja na Balozi zake nchi tofauti tofauti, hiyo ni kama hadhi ya nchi tu.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Kuna mambo mazito kwa sasa zaidi ya hili mkuu "Nangu Nyau', pamoja na kwamba ningependa kuuendeleza mjadala huu. mbele ya hapa. Kwa hiyo naomba unisamehe kwa kuweka fikra zangu nyingi huko kwingine kwa sasa hivi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mitetemo ya Gwajima umeiona?
Nimeacha kuwafatilia aisee,
naona wengi wanalinda masilahi yao.

Na kwa kiasi fulani watanganyika ni aidha tumeridhika na hali iliyopo ama haturidhishwi na hatuna namna ya kuunga mkono juhudi za kutoridhishwa na yanayoendelea.
 
Kuna mambo mazito kwa sasa zaidi ya hili mkuu "Nangu Nyau', pamoja na kwamba ningependa kuuendeleza mjadala huu. mbele ya hapa. Kwa hiyo naomba unisamehe kwa kuweka fikra zangu nyingi huko kwingine kwa sasa hivi.

Naheshimu muda wako, cheers.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Baada ya Novena kushindwa sio? Basi sawa. Ngoja tulisubiri.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Wapuuzi tuu hao
 
Hakuna Serikali itakubali kupelekeshwa na vikundi vya kidini.

Ikibidi Serikali iwadhibiti.
 
Wanaohatarisha Amani ya Taifa letu ni Sisiemu,Dhuluma mwisho wake ni Hatariii kwa Nchi.Hakuna suluhisho la kupata Haki kwa Sasa tofauti na Matumizi ya. Nguvu tuwewakwelii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom