nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,940
- 1,254
Haon
Hao wafuasi ingawa hakuna anayejua uwingi na impact yao mtanzania yyte mwenye akili hawezi kuwazingatia hao mashetani. Km wana wafuasi waanzishe chama wasijifiche kwenye majoho tuone km watashinda hao ngedere poriWanachojivunia ni wafuasi, ndiyo wana-blackmail watu,hizo nyakati zimepita