kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,484
Swali
kwahiyo uovu uendelee kwakuwa haukuondolewa 2020?
Watu wafe wangapi ndio wanywa damu mtashtuka?
Mpinzani mkuu alifungwa tulipoelekea uchaguzi?
Vyama vya kihuni na wagombea wajinga kama mwalimu tuliwaona?
Tuache unafiki na uzandiki ni aibu familia Moja itoe wabunge wawili wasiopingwa huku hawana maajabu yoyote zaidi ya baba alikuwa Rais...
Ukitetea uovu wewe nimtu wahovyo tuu
Swali la kijinga saana!!2020 walikua wapi?