Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

Tetesi: Kanisa Katoliki kutoa waraka utakaotetemesha nchi

Status
Not open for further replies.
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Hawana jipya hao, ni debe tupu tu.
Na wausome waraka wao makanisa yote kwa wiki sita kama ule wa bandari but nothing will change
 
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu.Kama Yesu Kristo alikufa na akazikwa na serikali ya wakati ule lakini siku ya Tatu Alifufuka kutoka wafu na akapaa mbinguni.Pia atakuja kwahukumu wazima na wafu basi nyaraka za Kanisa Katoliki hazitaenda bure.Hata kipindi cha CORONA Magufuri aligombana na Kanisa Katoliki na akaanza kutoa vitisho kwa Maaskopfu na Mapadre.Lakini haikuchukua hata miezi miwili akafa kwa ugonjwa huo huo aliokuwa anasema haupo na Kanisa likamzika.
Sasa kama unataka tukutundike na wewe msalabani ingia barabarani
 
Hawana jipya hao, ni debe tupu tu.
Na wausome waraka wao makanisa yote kwa wiki sita kama ule wa bandari but nothing will change
Mungu wa mbinguni yupo maombi yanaweza chukua hata miaka kumi kama jibu lipo lipo tu naamini Mungu atatenda.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025.Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million

WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja ujanja kuweweseka na kukimbilia kuitisha mkutano 27/08/2025 kujaribu kuwatisha,kubabaisha kanisa dhidi ya msimamo mkali wa kupinga wizi wa uchaguzi.

Ngongo kwasasa Parokiani Monduli.
Acha ushabiki wa kisenge, huo waraka ni tetemeko la ardhi? We ni zombie kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom