Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,384
- 1,438
Maombi ni rubish
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🏃🏃🏃Haya majamaa malevi ya kutupwa
hayo yote uliyoyasema siyafahamu mkuu - kiukweli kabisa yaniUnajua mkataba wa kanisa katoliki na Tanganyika unajua Kipindi Mkapa anazingua kwanini Nyerere alikua anaenda kushitaki kwa Kalidnali Pengo? JK kasoma seminary unajua ilo?
😂😂hayo yote uliyoyasema siyafahamu mkuu - kiukweli kabisa yani
nachosema mimi museveni,kagame,lukashenko,netanyahu na wadau wengine wa ina yao bado wapo madarakani na wamekaa madarakani kwa muda mrefu tu ---- hoja yangu inaishia hapo
Unaharisha vitu gani wewe!!?.. wajinga sana nyinyi!!Unawajua roma unawaskia Rais wa Marekani alisitisha shughuli zote za Taifa akaenda Msibani kwa papa juzi hapa msilete mchezo na Roma unajua Mkataba wa Roma na Tanganyika jipe mda ujifunze vitu Unajua huyu bi mkubwa alishaenda Roma akutana Papa aliyefariki JK huyo kasoma seminary kabisa
Unawajua roma unawaskia Rais wa Marekani alisitisha shughuli zote za Taifa akaenda Msibani kwa papa juzi hapa msilete mchezo na Roma
Novena ya Ritha wa Cascia imenitendea miujizaNovena ni maombi maalum ya kunuwia, kwa Mungu. Ni maombi yenye kanuni maalum. Kanuni ya kwanza, kabla hujaanza Novena, inabidi ujitakase, yaani ufanye toba maalum, uwe msafi mbele za Mungu.
Kipindi chote unapofanya Novena, unatakiwa kujitahidi kuwa msafi kiroho, na unaweza kuwa na mfungo maalum, kama vile kushinda njaa, kufanya matendo maalum ya huruma. Na kila siku utasali sala maalum bila ya kukosa.
Novena ni ibada iliyothibituka kuwa na nguvu kubwa, rejea watu maalum waliowahi kufanya, hata wakapata majibu kwa mambo ambayo hawakutarajia kuwa na uwezo nayo, yaani mkojo wa amungu ulitenda kazi.
Bila shaka.mkuu unaweza kunipa darasa kidgo nbox pls
Tutakuwa pamoja katikaa salaAskofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadeus Ruai'chi ameagiza katika Parokia zote na Asasi zote katika Jimbo Kuu la Dar es Salaam ifanyike Novena ya siku tisa (9) kuomba Haki na Amani kuanzia Agosti 15 -23, 2025.
Askofu Mkuu ameelekeza kwamba Novena hiyo iambatane na kuabudu Ekaristi Takatifu, Kusali Rozari Takatifu na kusali sala ya Kuiombea Tanzania kama iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Agizo hilo alilitoa awali Julai 7, 2025 katika Sherehe za Upadrisho katika Viwanja vya Msimbazi Center, la kuwa na Novena ya kuliombea Taifa Haki na Amani.
"Aidha, katika siku ya kilele cha Novena hiyo, yaani Jumamosi tarehe 23 Agosti 2025, ambayo kwa Kanisa zima la Tanzania ndiyo siku ya kufunga na kukesha katika kusali kwa ajili ya kuomba Haki na Amani, sote tunaalikwa kufuata Ratiba iliyotolewa na Idara ya Kichungaji ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambayo inaelezea namna ya kufanya sala na mfungo huo ambao utaanza hiyo tarehe 23 Agosti kwa adhimisho la Ekaristi Takatifu, ikifuatiwa na kuabudu Ekaristi Takatifu ikiambatana na vipindi mbalimbali vya sala, mafundisho, na ukimya, na kuhitimishwa Dominika tarehe 24 Agosti kwa adhimisho la Misa Takatifu kama inavyoelekezwa katika maelekezo yaliyotoka TEC."
View attachment 3436679
Ushukuriwe Mungu mkuu. Kupitia hayo aliyokutendea, jina lake likazidi kutukuzwa, na ukuu wake ukalate kuonekana.Novena ya Ritha wa Cascia imenitendea miujiza
Inaelekea ndio wanatoa hela kwa niaba ya sisiemu kufadhili chauma mpya , na kugawa T shirts za chauma na kofia
Katoliki sio taasisi ndogoAskofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadeus Ruai'chi ameagiza katika Parokia zote na Asasi zote katika Jimbo Kuu la Dar es Salaam ifanyike Novena ya siku tisa (9) kuomba Haki na Amani kuanzia Agosti 15 -23, 2025.
Askofu Mkuu ameelekeza kwamba Novena hiyo iambatane na kuabudu Ekaristi Takatifu, Kusali Rozari Takatifu na kusali sala ya Kuiombea Tanzania kama iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Agizo hilo alilitoa awali Julai 7, 2025 katika Sherehe za Upadrisho katika Viwanja vya Msimbazi Center, la kuwa na Novena ya kuliombea Taifa Haki na Amani.
"Aidha, katika siku ya kilele cha Novena hiyo, yaani Jumamosi tarehe 23 Agosti 2025, ambayo kwa Kanisa zima la Tanzania ndiyo siku ya kufunga na kukesha katika kusali kwa ajili ya kuomba Haki na Amani, sote tunaalikwa kufuata Ratiba iliyotolewa na Idara ya Kichungaji ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambayo inaelezea namna ya kufanya sala na mfungo huo ambao utaanza hiyo tarehe 23 Agosti kwa adhimisho la Ekaristi Takatifu, ikifuatiwa na kuabudu Ekaristi Takatifu ikiambatana na vipindi mbalimbali vya sala, mafundisho, na ukimya, na kuhitimishwa Dominika tarehe 24 Agosti kwa adhimisho la Misa Takatifu kama inavyoelekezwa katika maelekezo yaliyotoka TEC."
View attachment 3436679
When citizens choose prayers over actions the government relax.Maombi ni rubish