Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,406
- 102,527
Oya hiyo nyimbo wanayo imba ni 🔥 🔥, hayo maudhui lazima upate kihoro.
wanaimba wapi nduguOya hiyo nyimbo wanayo imba ni 🔥 🔥, hayo maudhui lazima upate kihoro.
Ni Albadil ya Kikristo.Naomba kuelimishwa kuhusu novena
Oh ok sawa sawa nimekuelewa mkuuNi Albadil ya Kikristo.
NO ELECTION NO REFORMNchi ipo Salama chini ya Rais wetu kipenz. SAMIA SULUHU HASSAN October tunatiki hakuna zaid..
NO REFORM NO ELECTIONTuombee uchaguzi huru na haki
Kuombewa Taifa kunaambatana na baraka kubwa sana.Hili Taifa litakuwa lina shida sanaa maana mara kwa mara linaombewa
Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah

Poor brain!!! Jina linasadifuAstaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah
Watu wanacheza na hii nchi ya Mungu....Yan mje mjifanyie mambo ya ajabu halafu wakae salama..Amen
Huu mwaka itajulikana nani ni Mungu
Sie tuna mwendo wa 40+ mpk 31 October tukamilishe 90 days
Nione watatobolea wapi
ImagineWatu wanacheza na hii nchi ya Mungu....Yan mje mjifanyie mambo ya ajabu halafu wakae salama..
🖕🖕🖕🖕🖕 Una binua matako na kejeli juu sababu waume zako kinachowasaidia ni makafara ya damu za watu na wanyama...Unaota wewe kuna kitengo cha dini TISS
Msibabsishe watu na ushetani wenu huo wa kutishia na maombi na visala vyenu na vinabii koko
Watu wamesoma dini kuliko nyinyi
Na wanajua Mungu kuliko nyie .Hukesha wakiombea nchi masaa 24 miaka yote ya ajira zao nchi iwe na amani.Sio hivyo vi
Novena vyenu vya kusitukiza au vi unabii vya kutishia nyau