Kwa uaminifu na wivu mkubwa mbele za Mungu?!Asante kwa taarifa. Tutashiriki kwa uaminifu na Mungu atajibu kwa wakati.
Ndo ambavyo wenzetu huwa mnafanya novena?Wakishapiga novena wanaenda kutandika pombe kupooza kiu ya pombe ya kufunga na kuomba Novena
Novena bila pombe haiendi
Utapeli utapeli utapeli
Exactly nimejifunza Mungu ana njia zake za kuwaleta watu pamojawatu wengi wanaamini gwajima alikuwa na bifu na katoliki, kumbe sio, alikuwa na personal bifu na "pengo'' ambaye alikuwa rafiki wa magu, na akatoa ushauri kwamba "ni bora wachache wafe kuliko wengi" akimaanisha taifa. RC awali walidhani wapo salama, walipoanza kufuatwa maaskofu na wasiojulikana wakaona kumbe na sisi hatupo salama, alipovamiwa kitima kanisani wakaona kumbe hatupo salama kama wengine. pengo awali alidhani yupo salama akiwa na rais, ila sasaivi wamestuka. hata hivyo, ilishawahi kutabiriwa, kuna siku wakristo hata kama hawataungana kuamini mlengo mmoja ila watakuwa kitu kimoja. wakristo wanapaswa kuungana au la makanisa tu ndio yatavamiwa na kutekana na kufungwa ila misikiti hutosikia imeguswa. sisi vita vyetu sio vya kupigana kwa mikono tutamwomba Mungu ila umoja ili kuwa na sauti moja walau ya kulalamika ni muhimu. washukuruwe RC kuona wakristo wengine nao ni wenzao tu kwa sababu pengine sote tumekuwa victims.
mkuu unaweza kunipa darasa kidgo nbox plsNovena ni maombi maalum ya kunuwia, kwa Mungu. Ni maombi yenye kanuni maalum. Kanuni ya kwanza, kabla hujaanza Novena, inabidi ujitakase, yaani ufanye toba maalum, uwe msafi mbele za Mungu.
Kipindi chote unapofanya Novena, unatakiwa kujitahidi kuwa msafi kiroho, na unaweza kuwa na mfungo maalum, kama vile kushinda njaa, kufanya matendo maalum ya huruma. Na kila siku utasali sala maalum bila ya kukosa.
Novena ni ibada iliyothibituka kuwa na nguvu kubwa, rejea watu maalum waliowahi kufanya, hata wakapata majibu kwa mambo ambayo hawakutarajia kuwa na uwezo nayo, yaani mkojo wa amungu ulitenda kazi.
We wezi,majambazi, watekaji,wafiraji na walawiti unawapenda?Ndo wanaomtuma polepole hao, Sasa wanajitokeza. Catholic wanamchukia mno Samia, yaani mnooo.
Ndio Novena ina Nguvu mnoNovena Ina nguvu sana ukisali kwa Imani.
Maembe anaondoka hawa jamaa walikua wamefunga pia kama kumbukumbu zangu kama ziko sawaHii novena ya kuomba haki na Amani itajibiwa mapema sana,.
Baada ya hii novena Kuna jambo kubwa litatokea katika nchi hii haswa Kwa wale viongozi wasiopenda Haki katika uchaguzi.
Unajua vitu vingi sana na Ogezea na hiyo 139 ni namba kibwa kuliko zote, kiroho na kimwili, hili limeisha
Kuanzia tarehe 8 october mpaka 22 september gateway inakuwa wazi na ni kwa mwaka mara moja,
😂😂😂museveni, kagame, lukashenko ,netanyahu na wadau wao wengine wote bado wapo madarakani
Unajua mkataba wa kanisa katoliki na Tanganyika unajua Kipindi Mkapa anazingua kwanini Nyerere alikua anaenda kushitaki kwa Kalidnali Pengo? JK kasoma seminary unajua ilo?museveni, kagame, lukashenko ,netanyahu na wadau wao wengine wote bado wapo madarakani
Wao wana risasi sisi tuna rozali na biblia .Hili Taifa litakuwa lina shida sanaa maana mara kwa mara linaombewa
Hakika.Hapo wameshapanga mipango Yao vyema .
Wanataka wakisha kamilisha hiyo mipngo Yao , Wasingizie nguvu ya maombi 😂😂😂
Jamaa ni majasusi hayo
Subiri Nebukadneza atakavyo anguka ndio utajua wanaamini miujiza ipo au laaah.Sahihi kwanza katoliki huamini kuwa miujiza siku za leo haipo
Ilikoma zamani
Ma novena ni utamaduni wao tu
Unawajua roma unawaskia Rais wa Marekani alisitisha shughuli zote za Taifa akaenda Msibani kwa papa juzi hapa msilete mchezo na Roma unajua Mkataba wa Roma na Tanganyika jipe mda ujifunze vitu Unajua huyu bi mkubwa alishaenda Roma akutana Papa aliyefariki JK huyo kasoma seminary kabisaPatachafuka,na bahati mbaya kwao machafuko hawayawezi,waoga