GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah
Astakafirullah,, astakafirullah,, astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah
 
Hii novena ya kuomba haki na Amani itajibiwa mapema sana,.
Baada ya hii novena Kuna jambo kubwa litatokea katika nchi hii haswa Kwa wale viongozi wasiopenda Haki katika uchaguzi.
Hapo wameshapanga mipango Yao vyema .
Wanataka wakisha kamilisha hiyo mipngo Yao , Wasingizie nguvu ya maombi 😂😂😂

Jamaa ni majasusi hayo
 
Naomba kuelimishwa kuhusu novena

Novena ni maombi maalum ya kunuwia, kwa Mungu. Ni maombi yenye kanuni maalum. Kanuni ya kwanza, kabla hujaanza Novena, inabidi ujitakase, yaani ufanye toba maalum, uwe msafi mbele za Mungu.

Kipindi chote unapofanya Novena, unatakiwa kujitahidi kuwa msafi kiroho, na unaweza kuwa na mfungo maalum, kama vile kushinda njaa, kufanya matendo maalum ya huruma. Na kila siku utasali sala maalum bila ya kukosa.

Novena ni ibada iliyothibituka kuwa na nguvu kubwa, rejea watu maalum waliowahi kufanya, hata wakapata majibu kwa mambo ambayo hawakutarajia kuwa na uwezo nayo, yaani mkono wa amungu ulitenda kazi.
 
Aisee hayo maombi hatafiki popote
Yaani badala ya kuabudu Mungu wakatoliki mnaenda kuabudu Ekaristi

Biblia imeagiza kuabudu Mungu tu

Aiseeee upagani mtupu
Ondoka shetani, rudi nyuma wewe. Umelaaniwa wewe na nyumba yako. Wala usiharibu mjadala wenye neema ya Mungu.

Bwana asema, "Huu ndio mwili wangu, mwili wa agano jipya la milele, unaotolewa kwaajili yenu. Yeyote aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu akaa ndani yangu nami ndani yake, naye ana uzima wa milele".

Ekaristi takatifu ni Kristo mzima katika umbile la mkate na divai.
 
Hapo wameshapanga mipango Yao vyema .
Wanataka wakisha kamilisha hiyo mipngo Yao , Wasingizie nguvu ya maombi 😂😂😂

Jamaa ni majasusi hayo
Patachafuka,na bahati mbaya kwao machafuko hawayawezi,waoga
 
Ekaristi takatifu ni Kristo mzima katika umbile la mkate na divai.
Huo unga wa ngano mnaopika jikoni ndio wa kuuabudu

Lakini sishangai sababu huwa mnanunua simenti mnachanganya na nzege na mchanga mnatengeneza sanamu halafu mnaita ya mtakatif8

Halafu mnaanza kusali mbele ya hiyo sanamu mliyotengenezea na kuabudu

Hivyo kuabudu hiyo ekaristi iliyotengenezwa kwa ngano sio shida kwenu
 
Novena ni maombi maalum ya kunuwia, kwa Mungu. Ni maombi yenye kanuni maalum. Kanuni ya kwanza, kabla hujaanza Novena, inabidi ujitakase, yaani ufanye toba maalum, uwe msafi mbele za Mungu.

Kipindi chote unapofanya Novena, unatakiwa kujitahidi kuwa msafi kiroho, na unaweza kuwa na mfungo maalum, kama vile kushinda njaa, kufanya matendo maalum ya huruma. Na kila siku utasali sala maalum bila ya kukosa.

Novena ni ibada iliyothibituka kuwa na nguvu kubwa, rejea watu maalum waliowahi kufanya, hata wakapata majibu kwa mambo ambayo hawakutarajia kuwa na uwezo nayo, yaani mkojo wa amungu ulitenda kazi.
Tatizo ni Mungu mwenyewe anayeombwa
 
Back
Top Bottom