hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,396
- 80,358
Hawajawahi kuyaogopa hata kidogoPatachafuka,na bahati mbaya kwao machafuko hawayawezi,waoga
Hawajawahi kuyaogopa hata kidogoPatachafuka,na bahati mbaya kwao machafuko hawayawezi,waoga
Waoga mno hao,vurugu hawaiweziHawajawahi kuyaogopa hata kidogo
Nani kalia maisha magumu. Labda kipindi cha jpm ndo maisha yalikuwa magumu sanaWatu wanataka watumie mabavu Yao kuongoza nchi ili hali wananchi wengi wanalia maisha Magumu kupindukia
Really!? Siwatakimbia na kuwaachia raia kisangaWaoga mno hao,vurugu hawaiwezi
Sasa raia, ambao wanatumika ku-blackmail wanasiasa, ndiyo watakaoumiaReally!? Siwatakimbia na kuwaachia raia kisanga
Sasa maombi na kutishiana wapi na wapi tenaHii novena ya kuomba haki na Amani itajibiwa mapema sana,.
Baada ya hii novena Kuna jambo kubwa litatokea katika nchi hii haswa Kwa wale viongozi wasiopenda Haki katika uchaguzi.
Acheni upuuzi, acheni ushirikina wenu wa kipuuzi. Sijawahi kuona RC wakiomba na kupata matokeo yoyote wao kila kitu ni km utamaduni tu.Tunasubiri matokeo kwa hamu kubwa!
Kama naniliu anavokesha na mizinga ya nyagi 🤣Wanakesha wanapiga vyombo
Sahihi kwanza katoliki huamini kuwa miujiza siku za leo haipoAcheni upuuzi, acheni ushirikina wenu wa kipuuzi. Sijawahi kuona RC wakiomba na kupata matokeo yoyote wao kila kitu ni km utamaduni tu.
Kwa kweli Kanisa lituombee kwa Mungu ili uhuru wetu usipokonyweAskofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadeus Ruai'chi ameagiza katika Parokia zote na Asasi zote katika Jimbo Kuu la Dar es Salaam ifanyike Novena ya siku tisa (9) kuomba Haki na Amani kuanzia Agosti 15 -23, 2025.
Askofu Mkuu ameelekeza kwamba Novena hiyo iambatane na kuabudu Ekaristi Takatifu, Kusali Rozari Takatifu na kusali sala ya Kuiombea Tanzania kama iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Agizo hilo alilitoa awali Julai 7, 2025 katika Sherehe za Upadrisho katika Viwanja vya Msimbazi Center, la kuwa na Novena ya kuliombea Taifa Haki na Amani.
"Aidha, katika siku ya kilele cha Novena hiyo, yaani Jumamosi tarehe 23 Agosti 2025, ambayo kwa Kanisa zima la Tanzania ndiyo siku ya kufunga na kukesha katika kusali kwa ajili ya kuomba Haki na Amani, sote tunaalikwa kufuata Ratiba iliyotolewa na Idara ya Kichungaji ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambayo inaelezea namna ya kufanya sala na mfungo huo ambao utaanza hiyo tarehe 23 Agosti kwa adhimisho la Ekaristi Takatifu, ikifuatiwa na kuabudu Ekaristi Takatifu ikiambatana na vipindi mbalimbali vya sala, mafundisho, na ukimya, na kuhitimishwa Dominika tarehe 24 Agosti kwa adhimisho la Misa Takatifu kama inavyoelekezwa katika maelekezo yaliyotoka TEC."
View attachment 3436679
Milele amina.Tumsifu Yesu Kristu
Ndiyo maana linaombewa maana kuna shida ya utekaji,unyanyasaji kisiasa,kujilimbikizia mali na kuiuza nchi kwa Waarabu.Hili Taifa litakuwa lina shida sanaa maana mara kwa mara linaombewa
AminaAsante kwa taarifa. Tutashiriki kwa uaminifu na Mungu atajibu kwa wakati.
Mwaka huu utaona tu.Acheni upuuzi, acheni ushirikina wenu wa kipuuzi. Sijawahi kuona RC wakiomba na kupata matokeo yoyote wao kila kitu ni km utamaduni tu.
kivipiKatika makosa Mama amaefanya ni kuingia mkenge kwenye kuchukua form...
Milele AminaTumsifu Yesu Kristu
Kama baba yako mzazi anavyogonga na wahudumu wa barHawa si wanapiga vyombo au wanakesha huku wanagonga safar lagar