Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

N A K A Z I A [emoji419]

Feminist watamwambia aachane nae. Ila ndio hawa hawa mume akiwa na kazi wanampiga limbwata mpaka wanakaa na ATM ya mshahara wa mume.
Kukaa na atm card sio limbwata ni maamuzi ya mtu binafsi... Kama Mimi mke wangu anakaa nayo ila mshahara hajui napata ngapi.
 
Mapenzi bhn 😀😀 kama kweli unampenda na mnapendana bas haina haja ya kujiuliza sana maswali kama ni suala la kuja kukubadilikia mbelen hilo usilitangulize sana tanguliza upendo mtafika mbali omba tu mungu awaongoze muwe na mahusiano na mawasiliano mema mwisho wa yote kuna maamuzi yako binafsi
 
Back
Top Bottom