Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

Nipo apa dilemma nipo kazini mwenzangu ajira bado, kaniambia ili tufunge ndoa inabidi mshahara wangu tugawane pasu kwa pasu ndo anioe.

Nipo tu nimebaki njia panda.
Kwanini muifunge hiyo ndoa?? Iache wazi atake aingie asitake atoke, mbona simple tu.., ukiwa shangazi ndiyo uanze kuforce Mahusiano sasa maana bei ya soko itakuwa imeshuka.
 
Ukuni unautaka, mshahara unauma kugawana... si mnalilia 50/50 mbona sisi tunatoa ata zaidi ya nusu mshahara na kuwahudumia full package.. feminist bana, all that superficial shit drains down the toilet pindi nyumba inapowaka moto, wanyama wakali, vibaka or whatever hapo ndo mwanaume is expected to be a man! Raasclaat. Anazingua kuomba hivo ila hakosei kweny ulimweng wenu wa nusu bin nusu usikute ata hukutongozwa ulijilengesha mwenywe.
 
Nipo apa dilemma nipo kazini mwenzangu ajira bado, kaniambia ili tufunge ndoa inabidi mshahara wangu tugawane pasu kwa pasu ndo anioe.

Nipo tu nimebaki njia panda.

Mnapenda uncomplicate mambo wenyewe😅😅😅
Kama unaamini anafaa kuwa mke oa, halafu usigawane nae mshahara.
Wewe mpe mshahara wote atapanga yeye matumizi😀😀😀
 
Ukuni unautaka, mshahara unauma kugawana... si mnalilia 50/50 mbona sisi tunatoa ata zaidi ya nusu mshahara na kuwahudumia full package.. feminist bana, all that superficial shit drains down the toilet pindi nyumba inapowaka moto, wanyama wakali, vibaka or whatever hapo ndo mwanaume is expected to be a man! Raasclaat. Anazingua kuomba hivo ila hakosei kweny ulimweng wenu wa nusu bin nusu usikute ata hukutongozwa ulijilengesha mwenywe.
Super woman ni mitandaoni tu. Kwenye real life hicho kitu hakipo.

Niliwahi kumzagamua super woman mmoja jijini Dar aisee sikuwa naamini kama ni yule ninayemuona kwenye MaTV ua Clouse media na Insta.

She was so humble and bow to me.
 
Nipo apa dilemma nipo kazini mwenzangu ajira bado, kaniambia ili tufunge ndoa inabidi mshahara wangu tugawane pasu kwa pasu ndo anioe.

Nipo tu nimebaki njia panda.

Kama utaolewa naye ni sababu unatoa gundu, usijesema Kaka zako hatukukwambia.

- Sisi ni wanaume tunaelewa tabia za hovyo za wanaume.

- Tunakupenda Dada yetu, ingawa hatutaingilia maamuzi yako.
 
Siku hizi hakuna waoaji sasa shauri yako. endelea kuzeekea nyumbani na usipoangalia utakua single Mother

N.b, Huyo marioo wako ukiweza kuichezea akili yake hata huo mshahara wako hata utaka, sisi wanaume tuna akili za kichwa cha juu na akili za kichwa cha chini kazi kwako.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
 
Back
Top Bottom