Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,039
- 8,242
🤣🤣 Sikuhizi wanaume wanadanga Aiseeh🤣imebak waanze kujipanga Kona baa kama wanawakeUyo mwanaume ni mdangaji bwana kama wadangaji wengine tu
🤣🤣 Sikuhizi wanaume wanadanga Aiseeh🤣imebak waanze kujipanga Kona baa kama wanawakeUyo mwanaume ni mdangaji bwana kama wadangaji wengine tu
Kabisa hii ajenda waachane nayo[emoji4]Tukiwaambia AJENDA ya 50/50 hamuiwezi na haiwezekani muwe mnaelewa
Ha ha ha....[emoji4]Na shetani alivyokuwa na nguvu sasa huyu dada atakubali hiyo condition ya slayking na baadae atakuja pandisha uzi hapahapa JF kuwa wanaume wote ni umbwa.
Kama alianza naye kitambo na wanajuana vizuri sio tatizo kumpa,ila kama ndio wanaanza mahusiano basi huyo ni tapeli hafaiRun for what?
Kwenye mahusiano yaliyokolea upendo tumesikia makubwa hadi watu kuahidiana kumpa mwenza wake dunia.
Sasa kama ana upendo wa dhati basi kwenye case ya mdau mshahara ni kitu kidogo sana ukilinganisha na couples zilizokuwa tayari kutuuza ili kuwaridhisha wenzi wao.
😀😀😀😀😀kwa kweli🤣🤣 Sikuhizi wanaume wanadanga Aiseeh🤣imebak waanze kujipanga Kona baa kama wanawake
Amemuonaje aseeh,au ndo Hawa walimu na manesi walioajiriwa juzi?🤣Huyo kakuona hauna namna ,haumvutii kwa chochote , na hana cha kupoteza kuhusu wewe , kma ni kweli unapenda kuolewa na hauna namna kubali hiyo ofa , pia mbele ujiandae kbsa na mfadhaiko wa kihisia ili tu utimize lengo lako la kuvaa Pete ya ndoa na shela.
Hata kama ni kusaidiana hiyo approach aliyoitumia mwanaume hapana sio poa 😀😀upendo una mengi sana,
hapo ukute mmetoka chuo pamoja sema wewe umefanikiwa kupata ajira mapema then unaona taabu kumsaidia mwenzako, wanaume tuwe macho sana na wapenzi tunaotarajia kuwaoa, hakikisha hakuzidi katika point yeyote, iwe ni akili au kifedha maana hapa naona wanawake asilimia 95 wote wanamshauri amuache msela wetu bila kujali hata hizo fedha za kuoa atazipata wapi wakati hana ajira, na hata akimuacha inamaana mdada ataanza na upya kujenga mahusiano na mtu mwingine bila kujali atakutana na mtu wa namna gani
Ahh kama wanapendana si waende kwa mkuu wa wilaya wapate cheti na Pete,afu madamu apambane amuwezeshe mtaji,wajikongoje taratibu,baada ya muda watakuwa vizuri kiuchumi,mambo ya kulipana mishahara mie binafsi,napingana na hiyo hoja🙏upendo una mengi sana,
hapo ukute mmetoka chuo pamoja sema wewe umefanikiwa kupata ajira mapema then unaona taabu kumsaidia mwenzako, wanaume tuwe macho sana na wapenzi tunaotarajia kuwaoa, hakikisha hakuzidi katika point yeyote, iwe ni akili au kifedha maana hapa naona wanawake asilimia 95 wote wanamshauri amuache msela wetu bila kujali hata hizo fedha za kuoa atazipata wapi wakati hana ajira, na hata akimuacha inamaana mdada ataanza na upya kujenga mahusiano na mtu mwingine bila kujali atakutana na mtu wa namna gani
No kuna wadada wengi tu hawavutii kbsa ila wanapesa na vijimaisha vizuri angalau ,wanajikuta wanaishia kwa vijana wavivu ,mwenye kupenda mtelezo ,mwisho wa siku wanaishia kupewa masharti ya kijinga kabisa, kwa sababu wana sura za baba na shepu ya simba ,wana nasa.Amemuonaje aseeh,au ndo Hawa walimu na manesi walioajiriwa juzi?[emoji1787]
Ila kumwambia hivyo tu mwanamke kunakufanya uonekane tapeli japo huenda mwana anapima namna mwanamke kama anaweza kumvumiliaa kitu ambacho wanawake hawana. Mimi pisi yangu flani niliiombea mpaka kazi serikalini ilikuwa haijui kituu guess what yeye alipata mimi nikakosa the rest is history..kuna siku nikajuta why nilistruggle kumtafutia ajira ila nikapiga moyo konde. KIUFUPI HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENA 😀 😀upendo una mengi sana,
hapo ukute mmetoka chuo pamoja sema wewe umefanikiwa kupata ajira mapema then unaona taabu kumsaidia mwenzako, wanaume tuwe macho sana na wapenzi tunaotarajia kuwaoa, hakikisha hakuzidi katika point yeyote, iwe ni akili au kifedha maana hapa naona wanawake asilimia 95 wote wanamshauri amuache msela wetu bila kujali hata hizo fedha za kuoa atazipata wapi wakati hana ajira, na hata akimuacha inamaana mdada ataanza na upya kujenga mahusiano na mtu mwingine bila kujali atakutana na mtu wa namna gani
Wewe unajua sana saikolojia hiyo ndio ilivyo maana si rahisi mwanaume kupata ujasiri wa kumpa mwanamke hayo mashartiHuyo kakuona hauna namna ,haumvutii kwa chochote , na hana cha kupoteza kuhusu wewe , kma ni kweli unapenda kuolewa na hauna namna kubali hiyo ofa , pia mbele ujiandae kbsa na mfadhaiko wa kihisia ili tu utimize lengo lako la kuvaa Pete ya ndoa na shela.
Wanawake wa kule Kanda maalum ndo zao[emoji4]Kuna wenzako walishatoa mahari kwa ajili ya waume zao, yaani ili aolewe ilibidi ampe mume mtarajiwa 2m kulipia mahari.. dunia inaenda mbio sana.
Mahusiano ya Sasa unapaswa Kuishi kimkakati zaidi[emoji4]Ila kumwambia hivyo tu mwanamke kunakufanya uonekane tapeli japo huenda mwana anapima namna mwanamke kama anaweza kumvumiliaa kitu ambacho wanawake hawana. Mimi pisi yangu flani niliiombea mpaka kazi serikalini ilikuwa haijui kituu guess what yeye alipata mimi nikakosa the rest is history..kuna siku nikajuta why nilistruggle kumtafutia ajira ila nikapiga moyo konde. KIUFUPI HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENA 😀 😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti shepu ya simbaNo kuna wadada wengi tu hawavutii kbsa ila wanapesa na vijimaisha vizuri angalau ,wanajikuta waishia kwa vijana wavivu ,mwenye kupenda mtelezo ,mwisho wa siku wanaishia kupewa masharti ya kijinga kabisa, kwa sababu wana sura za baba na shepu ya simba ,wana nasa.