Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,981
Usione aibu bwana😂😂😂
Usione aibu bwana😂😂😂
Hahahahah hongera tenahongera sana mkuu
Asugue kisimi huku akikumbuka mautamu aliyowahi pewaga
watu kama wewe adimu sanaHahahahah hongera tena
Angemwambia anajitolea 😂😂😂Eti jamani😂
kwako Ms eyesAsugue kisimi huku akikumbuka mautamu aliyowahi pewaga
Mbona nyie mnaingilia majukumu? Au hii kanuni mnaikumbuka pale tu mnapotaka kujitetea kwa maslahi yenu ? Mngekuwa kweli mnaishi kwenye hii kanuni tungewaelewa.Hata maandiko yameandika Mwanaume atatafuta kwa jasho na Mwanamke atazaa kwa uchungu sasa we ingilia majukumu yasiyo kuhusu.Mwambie asikae bure aokote makopo ni biashara inayolipa vizuri .
kisimi natoa wapi mimi aisee😂Ndio unavyopenda😂😂😂
KabisaUlikosea sana kumuonyesha Una hela, dizaini ya wanaume wa hivyo ndio dizaini ya mume wa diva, ukiolewa nae akipata mwanamke mwenye kumuonyesha ana pesa zaidi ujue mume huna,,,,,,,, tatizo kakuona una hela halafu uko desperate na ndoa ndio maana anakuletea huu ujinga…. Ningemuelewa kama angetaka hela ya Mtaji afanye biashara Sio huu ukupe
.Ndio, wanaume waangalie hivi hivi. Unaweza kuwavumilia kwa kila hali lakini utakachokutana nacho aisee utajuta. Sitaki kumuwekea mwanaume asilimia 100.
Tumefanyeje?Narudia tena, WANAUME[emoji174][emoji779]️[emoji779]️[emoji845]
watu kama wewe adimu sana
sema utakua umekaza kwenye sekta nyingine😂
Majukumu kama yapi tumeingilia?Mbona nyie mnaingilia majukumu? Au hii kanuni mnaikumbuka pale tu mnapotaka kujitetea kwa maslahi yenu ? Mngekuwa kweli mnaishi kwenye hii kanuni tungewaelewa.
Kwanini awe na mahusiano na mtu ambaye hamuamini? Si amuambie tuu ukweli kijana wa watu amtafute wa size yake?Hata kama ni kusaidiana hiyo approach aliyoitumia mwanaume hapana sio poa [emoji3][emoji3]
Mtoto wa kiume pambana bhana unatoleaje macho pesa ya mtt wa kike woooi