Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,443
- 65,519
Tukiwaambia Wanawake ni Wabinafsi huwa mnakataa.
Mbona sisi tunapiga kazi alafu mwisho wa mwezi nampa Card Wife akachote hela ya matumizi ya kumtosha mwezi Mzima.
Kuna wakati nilikuwa nje ya Nchi kikazi kwa miezi 3 lakini Kadi pamoja na Mshahara wote alikuwa anachukua Wife
Wewe umeona shida kumgawia huyo Mume wako mtarajiwa ili aanze kufanya biashara wakati anasikilizia Ajira/Kujitafuta