rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
😀 😀 😀Kama ni mtego bhasi jamaa ajue ndo kamkosa huyu manzi maana pisi haiwezi kukubali.Wewe unajua sana saikolojia hiyo ndio ilivyo maana si rahisi mwanaume kupata ujasiri wa kumpa mwanamke hayo masharti