Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

Ahh kama wanapendana si waende kwa mkuu wa wilaya wapate cheti na Pete,afu madamu apambane amuwezeshe mtaji,wajikongoje taratibu,baada ya muda watakuwa vizuri kiuchumi,mambo ya kulipana mishahara mie binafsi,napingana na hiyo hoja[emoji120]
Tunafahamu majaribu kama hayo wanawake wengi hamtaweza, ndio maana tunapinga sana hiyo 50/50

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Shida yote ya Nini?
Piga chini huyo then njoo kwangu nikufanye second wife ila Sina kazi utatulisha wewe Hadi mambo yakae sawa
 
Ila kumwambia hivyo tu mwanamke kunakufanya uonekane tapeli japo huenda mwana anapima namna mwanamke kama anaweza kumvumiliaa kitu ambacho wanawake hawana. Mimi pisi yangu flani niliiombea mpaka kazi serikalini ilikuwa haijui kituu guess what yeye alipata mimi nikakosa the rest is history..kuna siku nikajuta why nilistruggle kumtafutia ajira ila nikapiga moyo konde. KIUFUPI HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENA 😀 😀
The same ishawahi nipata, hawa viumbe wakishakutangulia kipesa hatua moja tuu jua ushapigwa za uso,

Bora uwe na mwanamke ambaye hana chechote na wewe hauna kitu ili unapopambana na kufanikiwa atakuwa anakuheshimu, lakini ukimruhusu tuu akutangulie kidogo hapo jua ushaliwa kichwa aisee

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Alpha male.

Masculinity, yaani ukiwa bora kwa Kila nyanja lazima utapata wasaa wa kutafuta mwanamke Bora, hutaokota popote.

Tuwe Bora kuliko wanawake, kwanza inaleta heshima na uongozi.
Great point, mwanaume hakikisha unakuwa bora zaidi ya mwanamke kwa kila kitu

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Majukumu kama yapi tumeingilia?
Nitatumia kanuni hii hii kukujibu swali lako kwa mfumo wa swali pia sorry lakini 🙏.

Umeambiwa uzae kwa uchungu na tukienda ndani kidogo kwenye hiyo kanuni ni kwamba mwanamke anapaswa kubaki nyumbani kulea wototo (mama wa nyumbani) na mwanaume akatafute kwa jasho sasa haya mamlaka ya wewe kufanya kazi na kulipwa mshahara umeyatoa wapi? Na hizi 50/50 je ni kanuni ipi imetumika?

Au ndo tunahama kuja kwenye modern civilization ambayo inakupa haki yakufanya kazi na kudai hiyo 50/50?
Na kama ni hivo kwanini basi iwe ajabu na ionekane ni Dhambi kubwa kwa mwanaume kuitumia hii kanuni na yeye kuomba msaada kwa mwanamke wake?.
 
Back
Top Bottom