Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,572
Kwanza mie silipwi, sasa tungegawana nini🤣Hahah, hata figures kujua tu ingekuwa mbinde.
Kwanza mie silipwi, sasa tungegawana nini🤣Hahah, hata figures kujua tu ingekuwa mbinde.
Wewe utabaki mama wa nyumbani ili tupunguze matatizo.Kwanza mie silipwi, sasa tungegawana nini🤣
🤣🤣🤣🤣 Kwamba nikifanya kazi ni matatizo sio?Wewe utabaki mama wa nyumbani ili tupunguze matatizo.
Aisee,hili nalo ni la kuomba Msamaha!!.Nipo apa dilemma nipo kazini mwenzangu ajira bado, kaniambia ili tufunge ndoa inabidi mshahara wangu tugawane pasu kwa pasu ndo anioe.
Nipo tu nimebaki njia panda.
Sana sana! Tubaki hivi tu, nitakuhudumia kwa kila kitu.🤣🤣🤣🤣 Kwamba nikifanya kazi ni matatizo sio?
Nyeto ni ubinafsi mkuu , watoto wengi hivi kwanini uwe mbinafsi hivyo?KATAA MAPENZI,
PIGA NYETO!!
Ndiyo matatizo ya kusoma Biblia kama gazeti. Mume na mke ni mwili mmoja ila siyo katika maana uliyoweka ya nabii Tito.Mkubalie tu, wewe na yeye si mtakuwa mwili mmoja! Narrative ya kikiristo ambayo mi binafsi naona ni uongo.
sio ubinafsi mkuu, ni uogaNyeto ni ubinafsi mkuu , watoto wengi hivi kwanini uwe mbinafsi hivyo?
Uoga wa kitu gani master?sio ubinafsi mkuu, ni uoga
kukataliwaUoga wa kitu gani master?
Utaninyasanyasa🙆Sana sana! Tubaki hivi tu, nitakuhudumia kwa kila kitu.