privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,282
halafu mpaka wasomi kabisa na akili zao, eti....wanaacha kutumia VODA!!! wakati ni mitambo ya TCRA na makampuni yote wanafanya hivyo
Hapo kwenye mitambo ya TCRA sijakuelewa unamaanisha nini. Ujumbe upi ulitaka kuufikisha? TCRA wana mtambo upi huo?