Huu ndio mwanzo wa anguko la Vodacom!
Na ujue hii backclash kutoka kwa wananchi imewauma wamekimbilia kutoa Press Release!
Wananchi tuna nguvu sana!
Na Vodacom nitaichukia daima just like CCM controlled stupid TTCL!
TBC and TCRA included!
Stupid organizations!
Halafu punguani mmoja(riporisi) linasema eti amekamatwa kwa kosa lihusulo uhamiaji na kuwa alikataa wito wa barua, hivi kwa akili ya kawaida kabisa ya watu ambao syo wapumbavu kama wale wa ccm tunaweza kuamini huu utumbo wa nguruwe hawa uliooza!!!! Nchi la kifashisti na utawala wa kilusifa.
umeandika upumbavu gani ??na wewe ukitaka kubaki baki kimya kimya.......wadukuzi ni voda tu wengine unawajua wewe na uzwazwa wako!voda ni makaburu warudi kwao Tanzania hatuwataki tena!Sidhani kama ni voda tu, mitandao yote kwa sasa imeunganishwa kwa ajili ya usalama,na ukitoka toka kimya kimya sio mpaka sisi huku tujue,Me binafsi natumia voda na nitaendelea kutumia kama kawaida na daima tusikubali kuongozwa na hisia fulani,fikiria kabla ya kutenda
Watakupa Voda wenyewe kwenye soko laoMkimaliza hii kampeni yenu naomba mrejesho wa matokeo.
KABLA HAMJAVUNJA line KOPENI SANAHabari zenu wana wa nchi na poleni kwa majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taifa.
Baada ya tafakuli ya kina juu ya tukio la kukamatwa Mwandishi Erick Kabendera jana na Kufungiwa huduma ya mawasiliano ya simu yake na Vodacom nimeoma kuna mambo kadhaa yana tia simanzi sana juu ya Usalama wa raia yeyote kwa sasa hapa nchini.
Mwandishi Erick Kabendera anasema alipoona Mawasiliano yake yamefungwa aliwapigia vodacom na kuwauliza kulikoni? Vodacom wakamjibu kuwa wameagizwa na TCRA wafunge mawasiliano yake. Lakini baadae TCRA ambao ndio wenye jukumu la usimamizi wa Mawasiliano wakakanusha kuwa hawahusiki na tukio hilo na wala sio kazi yao kufungia watu mawasiliano.
Majibu ya TCRA yanatupa maswali magumu juu ya Mtandao wa Vodacom kama ifuatavyo.
1. Kwa nini Vodacom wanawaficha wahusika halisi waliotoa amri ambayo kama waliona ni halali?
2. Lengo halisi la kufunga mawasiliano ya mwandishi ni nini? Ili akitekwa asipatikane hewani na kuwasiliana na ndugu zake?
3. Kama mtuhumiwa anatafutwa na chombo cha usalama SIMU yake ikiwa hewani husaidia chombo cha usalama kujua mahali alipo na kumkamata kirahisi. Sasa Hawa Vodacom kumzimia Simu mtuhumiwa anaye tafutwa wana LENGO gani?
4.Makosa anayotuhumiwa Kabendera hayahusiani na mambo ya Mawasiliano kwa nini Vodacom wamfungie huduma mteja wao ambaye amelipia huduma?
Maswali haya yanatuonesha Vodacom sio Mtandao salama tena kwetu watanzania. Unashirikiana na wahalifu, watekaji, wauaji, na watesaji hapa mchini.
Pili Vodacom wameonesha dharau kubwa sana kwetu watanzania. Kama wanaweza kukufungia Mawasiliano mtu ambaye huna hatia ili udhurike na watekaji watashindwa kuvujisha habari zako?
Je, Pesa zetu tunazo ziweka huko M.PE.SA ni salama tena? Huwezi amka ukaambiwa akaunti yako imefungwa na pesa zako zimechukuliwa kwa maagizo toka juu?
Kitendo hiki hakipaswi kufurahiwa. Vodacom wanapaswa kuchukuliwa hatua na sisi wenyewe wananchi ili kulinda usalama wetu na kuwaonesha kuwa tumefedheheshwa sana na tukio hili.
Hatua za kuchukua ni hizi wana bodi.
1. Kuacha kutumia mtandao wa Vodacom na mitandao mingine kama hiyo inayo shirikiana na waharifu kutesa raia wema.
Vodacom wamejidhihirisha pasi na shaka kuwa ni hatari kwa usalama wetu hima hima tuchukue hatua haraka.
Asanteni.
Sawa lakini ujumbe utafika kwa woteungekuwa wewe Vodacom ukapewa amri kutoka huko zinakotoka ungekataa??
hebu acheni unafiki wakumnunia mnamjua voda mnamtwisha lawama bure tu.
haya mtoke voda muende wapi ttcl, Airtel, tigo, zantel Kati ya hao Kuna mwenye ubavu wakukataa maagizo kutoka huko yanapotaka
Simba na yanga zote mali ya ccm tuanze kwa kuzisusia hizi timuKama kichwa cha habari kinavyo elezea nawaomba wapenzi na Mashabiki wa Simba tuipuuze EFM kwani ndio wanaozunguka kila siku katika kipindi chao cha sport HQ kuitafutia Simba migogoro ili tufanane na yanga. Tuwapuuze na tubakie na Radio one yetu na Clouds radio ya watu
KUHAKIKISHA HILO (JF & MASHABIKI) TUZIME LINE ZAO KWA WIKI MOJA KAMA sio kuzitupa tuone IMPACT YAKE!! WENYE KUUNGA MKONO kazi kwenu. Yaani Rasmi kuanzia sasa kama ni line ya kikazi basi fanya taratibu za kubadili mtandao bila kuwaungisha vochaInamaana kampuni kubwa kama vodacom wanazidiwa na JF?
Kampuni yeyeto ikivunja Sheria ya faragha yako buruza mahakamani kadai fidia upate pesa
This time imekuwa seriousHii kampeni si aliwahi kuileta Lema na Mange na bado nyumbu wakaishia kuwa nyumbu
Kwa jinsi tulivyo hoi mkuu hata hiyo hela ya kusimamia kesi tunayo?
Mtu mnyonge ni mnyonge tu ndio maana hawa wenye madaraka wanajipigia wanavyotaka!
Ndio maana haya mashirika yenye nafasi kwenye jamii kama Vodacom,etc yatutetee basi kibinadamu cha ajabu yanatugeuka!
Cha ajabu ndio yanashirikiana na mtoa roho kuonea wanyonge!
Mahakama ipo kwa wenye kipato mkuu!
Ku-hire powered lawyer tu ni milions!
Wewe na mimi tusio chochote regime inajua huna mbavu za kwenda court!
Vodacom imefanya unyama mkubwa sana kwa wanyonge!
Sana!