Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

ungekuwa wewe Vodacom ukapewa amri kutoka huko zinakotoka ungekataa??

hebu acheni unafiki wakumnunia mnamjua voda mnamtwisha lawama bure tu.

haya mtoke voda muende wapi ttcl, Airtel, tigo, zantel Kati ya hao Kuna mwenye ubavu wakukataa maagizo kutoka huko yanapotaka
Basi hata jamii forum asingebaki mtu
 
USIVUNJE LINE YA VODA BILA KUKOPA TUWATIE HASARA KWANZA MBWwA HAWA

Mnapinga ubaya kwa ubaya. Wanafiki tu na wafata mkumbo. Kumbe mnaongozwa na stress za njaa kwa hiyo mmepata pa kupunguzia stress. Halafu mngetuonyesha na transaction zenu tuone namna Voda watakavyopoteza. Nimeona mwenzio mmoja kascreenshot bundle za 5,000 na 10,000 kwa siku 30 analialia kuwa ni wizi, kwamba ni nyingi. Mtangoja sana.
 
Hii kampeni si aliwahi kuileta Lema na Mange na bado nyumbu wakaishia kuwa nyumbu
 
mimi jan anime
Kuna viashiria Voda inatumika vibaya na wanasiasa hivyo ni bora tuachanenayo kabisa!

All in all,kuna uwezekano mkubwa Kabendara alitaka kutekwa.

Mimi jana nimeivunja laini yangu ya voda kwa nyundo. Voda si mtandao upo kwa ajili ya kushirikiana na wahalifu wanaoteka wananchi. Ukimbiwe huo si mtandao.
 
Laini ya Voda nilitupa kabisaa.....
Baada ya kusikia mawasiliano ya watu wanadukuliwa na wote walikiri wanatumia vodacom nikaachana nao kabisaa....

Huutandao sio salama
 
Habari zenu wana wa nchi na poleni kwa majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taifa.
Baada ya tafakuli ya kina juu ya tukio la kukamatwa Mwandishi Erick Kabendera jana na Kufungiwa huduma ya mawasiliano ya simu yake na Vodacom nimeoma kuna mambo kadhaa yana tia simanzi sana juu ya Usalama wa raia yeyote kwa sasa hapa nchini.

Mwandishi Erick Kabendera anasema alipoona Mawasiliano yake yamefungwa aliwapigia vodacom na kuwauliza kulikoni? Vodacom wakamjibu kuwa wameagizwa na TCRA wafunge mawasiliano yake. Lakini baadae TCRA ambao ndio wenye jukumu la usimamizi wa Mawasiliano wakakanusha kuwa hawahusiki na tukio hilo na wala sio kazi yao kufungia watu mawasiliano.

Majibu ya TCRA yanatupa maswali magumu juu ya Mtandao wa Vodacom kama ifuatavyo.

1. Kwa nini Vodacom wanawaficha wahusika halisi waliotoa amri ambayo kama waliona ni halali?
2. Lengo halisi la kufunga mawasiliano ya mwandishi ni nini? Ili akitekwa asipatikane hewani na kuwasiliana na ndugu zake?

3. Kama mtuhumiwa anatafutwa na chombo cha usalama SIMU yake ikiwa hewani husaidia chombo cha usalama kujua mahali alipo na kumkamata kirahisi. Sasa Hawa Vodacom kumzimia Simu mtuhumiwa anaye tafutwa wana LENGO gani?

4.Makosa anayotuhumiwa Kabendera hayahusiani na mambo ya Mawasiliano kwa nini Vodacom wamfungie huduma mteja wao ambaye amelipia huduma?

Maswali haya yanatuonesha Vodacom sio Mtandao salama tena kwetu watanzania. Unashirikiana na wahalifu, watekaji, wauaji, na watesaji hapa mchini.

Pili Vodacom wameonesha dharau kubwa sana kwetu watanzania. Kama wanaweza kukufungia Mawasiliano mtu ambaye huna hatia ili udhurike na watekaji watashindwa kuvujisha habari zako?

Je, Pesa zetu tunazo ziweka huko M.PE.SA ni salama tena? Huwezi amka ukaambiwa akaunti yako imefungwa na pesa zako zimechukuliwa kwa maagizo toka juu?

Kitendo hiki hakipaswi kufurahiwa. Vodacom wanapaswa kuchukuliwa hatua na sisi wenyewe wananchi ili kulinda usalama wetu na kuwaonesha kuwa tumefedheheshwa sana na tukio hili.

Hatua za kuchukua ni hizi wana bodi.
1. Kuacha kutumia mtandao wa Vodacom na mitandao mingine kama hiyo inayo shirikiana na waharifu kutesa raia wema.

Vodacom wamejidhihirisha pasi na shaka kuwa ni hatari kwa usalama wetu hima hima tuchukue hatua haraka.
Asanteni.

Mkuu vodacom ni kichaka cha majambazi na wahuni kile!! Nilihama vodacom na nitaendelea kuipinga maana wanahusika kuwatesa watanzania... Hawa ni wawekezaji, kwa nini wawe genge la wahuni?? Ingekuwa nchi za mbele ungekuta kesi inaguruma mahakamani na hisa zao zimeporomoka vya kutosha!! Siwezi kutumia voda hata wakinilipia hela ya vocha sipokei. Wapuuzi sana
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Na hii itawezekana kwa kususia kampuni za simu. Viva 😉😎

Tunaonesha displeasure na uonevu!

Ni somekind ya maandamano!

Dhumuni kubwa ni kuwaonesha watawala hatujapendezwa na jambo fulani!

Wapate ujumbe!

Basi!
 
Habari zenu wana wa nchi na poleni kwa majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taifa.
Baada ya tafakuli ya kina juu ya tukio la kukamatwa Mwandishi Erick Kabendera jana na Kufungiwa huduma ya mawasiliano ya simu yake na Vodacom nimeoma kuna mambo kadhaa yana tia simanzi sana juu ya Usalama wa raia yeyote kwa sasa hapa nchini.

Mwandishi Erick Kabendera anasema alipoona Mawasiliano yake yamefungwa aliwapigia vodacom na kuwauliza kulikoni? Vodacom wakamjibu kuwa wameagizwa na TCRA wafunge mawasiliano yake. Lakini baadae TCRA ambao ndio wenye jukumu la usimamizi wa Mawasiliano wakakanusha kuwa hawahusiki na tukio hilo na wala sio kazi yao kufungia watu mawasiliano.

Majibu ya TCRA yanatupa maswali magumu juu ya Mtandao wa Vodacom kama ifuatavyo.

1. Kwa nini Vodacom wanawaficha wahusika halisi waliotoa amri ambayo kama waliona ni halali?
2. Lengo halisi la kufunga mawasiliano ya mwandishi ni nini? Ili akitekwa asipatikane hewani na kuwasiliana na ndugu zake?

3. Kama mtuhumiwa anatafutwa na chombo cha usalama SIMU yake ikiwa hewani husaidia chombo cha usalama kujua mahali alipo na kumkamata kirahisi. Sasa Hawa Vodacom kumzimia Simu mtuhumiwa anaye tafutwa wana LENGO gani?

4.Makosa anayotuhumiwa Kabendera hayahusiani na mambo ya Mawasiliano kwa nini Vodacom wamfungie huduma mteja wao ambaye amelipia huduma?

Maswali haya yanatuonesha Vodacom sio Mtandao salama tena kwetu watanzania. Unashirikiana na wahalifu, watekaji, wauaji, na watesaji hapa mchini.

Pili Vodacom wameonesha dharau kubwa sana kwetu watanzania. Kama wanaweza kukufungia Mawasiliano mtu ambaye huna hatia ili udhurike na watekaji watashindwa kuvujisha habari zako?

Je, Pesa zetu tunazo ziweka huko M.PE.SA ni salama tena? Huwezi amka ukaambiwa akaunti yako imefungwa na pesa zako zimechukuliwa kwa maagizo toka juu?

Kitendo hiki hakipaswi kufurahiwa. Vodacom wanapaswa kuchukuliwa hatua na sisi wenyewe wananchi ili kulinda usalama wetu na kuwaonesha kuwa tumefedheheshwa sana na tukio hili.

Hatua za kuchukua ni hizi wana bodi.
1. Kuacha kutumia mtandao wa Vodacom na mitandao mingine kama hiyo inayo shirikiana na waharifu kutesa raia wema.

Vodacom wamejidhihirisha pasi na shaka kuwa ni hatari kwa usalama wetu hima hima tuchukue hatua haraka.
Asanteni.
VODACOM ni ya kuogopwa kama ukoma
 
Kama kichwa cha habari kinavyo elezea nawaomba wapenzi na Mashabiki wa Simba tuipuuze EFM kwani ndio wanaozunguka kila siku katika kipindi chao cha sport HQ kuitafutia Simba migogoro ili tufanane na yanga. Tuwapuuze na tubakie na Radio one yetu na Clouds radio ya watu
EFM ni radio ya jamii hata Moro haifiki, mashabiki wa Simba wapo nchi nzima na wengine nje ya nchi
 
Nielekezeni namna ya kuifikisha hii msg kwao
Screenshot_2019-07-31-14-33-50-168_com.android.mms.jpg
 
Habari zenu wana wa nchi na poleni kwa majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taifa.
Baada ya tafakuli ya kina juu ya tukio la kukamatwa Mwandishi Erick Kabendera jana na Kufungiwa huduma ya mawasiliano ya simu yake na Vodacom nimeoma kuna mambo kadhaa yana tia simanzi sana juu ya Usalama wa raia yeyote kwa sasa hapa nchini.

Mwandishi Erick Kabendera anasema alipoona Mawasiliano yake yamefungwa aliwapigia vodacom na kuwauliza kulikoni? Vodacom wakamjibu kuwa wameagizwa na TCRA wafunge mawasiliano yake. Lakini baadae TCRA ambao ndio wenye jukumu la usimamizi wa Mawasiliano wakakanusha kuwa hawahusiki na tukio hilo na wala sio kazi yao kufungia watu mawasiliano.

Majibu ya TCRA yanatupa maswali magumu juu ya Mtandao wa Vodacom kama ifuatavyo.

1. Kwa nini Vodacom wanawaficha wahusika halisi waliotoa amri ambayo kama waliona ni halali?
2. Lengo halisi la kufunga mawasiliano ya mwandishi ni nini? Ili akitekwa asipatikane hewani na kuwasiliana na ndugu zake?

3. Kama mtuhumiwa anatafutwa na chombo cha usalama SIMU yake ikiwa hewani husaidia chombo cha usalama kujua mahali alipo na kumkamata kirahisi. Sasa Hawa Vodacom kumzimia Simu mtuhumiwa anaye tafutwa wana LENGO gani?

4.Makosa anayotuhumiwa Kabendera hayahusiani na mambo ya Mawasiliano kwa nini Vodacom wamfungie huduma mteja wao ambaye amelipia huduma?

Maswali haya yanatuonesha Vodacom sio Mtandao salama tena kwetu watanzania. Unashirikiana na wahalifu, watekaji, wauaji, na watesaji hapa mchini.

Pili Vodacom wameonesha dharau kubwa sana kwetu watanzania. Kama wanaweza kukufungia Mawasiliano mtu ambaye huna hatia ili udhurike na watekaji watashindwa kuvujisha habari zako?

Je, Pesa zetu tunazo ziweka huko M.PE.SA ni salama tena? Huwezi amka ukaambiwa akaunti yako imefungwa na pesa zako zimechukuliwa kwa maagizo toka juu?

Kitendo hiki hakipaswi kufurahiwa. Vodacom wanapaswa kuchukuliwa hatua na sisi wenyewe wananchi ili kulinda usalama wetu na kuwaonesha kuwa tumefedheheshwa sana na tukio hili.

Hatua za kuchukua ni hizi wana bodi.
1. Kuacha kutumia mtandao wa Vodacom na mitandao mingine kama hiyo inayo shirikiana na waharifu kutesa raia wema.

Vodacom wamejidhihirisha pasi na shaka kuwa ni hatari kwa usalama wetu hima hima tuchukue hatua haraka.
Asanteni.

Halafu punguani mmoja(riporisi) linasema eti amekamatwa kwa kosa lihusulo uhamiaji na kuwa alikataa wito wa barua, hivi kwa akili ya kawaida kabisa ya watu ambao syo wapumbavu kama wale wa ccm tunaweza kuamini huu utumbo wa nguruwe hawa uliooza!!!! Nchi la kifashisti na utawala wa kilusifa.
 
Habari zenu wana wa nchi na poleni kwa majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taifa.
Baada ya tafakuli ya kina juu ya tukio la kukamatwa Mwandishi Erick Kabendera jana na Kufungiwa huduma ya mawasiliano ya simu yake na Vodacom nimeoma kuna mambo kadhaa yana tia simanzi sana juu ya Usalama wa raia yeyote kwa sasa hapa nchini.

Mwandishi Erick Kabendera anasema alipoona Mawasiliano yake yamefungwa aliwapigia vodacom na kuwauliza kulikoni? Vodacom wakamjibu kuwa wameagizwa na TCRA wafunge mawasiliano yake. Lakini baadae TCRA ambao ndio wenye jukumu la usimamizi wa Mawasiliano wakakanusha kuwa hawahusiki na tukio hilo na wala sio kazi yao kufungia watu mawasiliano.

Majibu ya TCRA yanatupa maswali magumu juu ya Mtandao wa Vodacom kama ifuatavyo.

1. Kwa nini Vodacom wanawaficha wahusika halisi waliotoa amri ambayo kama waliona ni halali?
2. Lengo halisi la kufunga mawasiliano ya mwandishi ni nini? Ili akitekwa asipatikane hewani na kuwasiliana na ndugu zake?

3. Kama mtuhumiwa anatafutwa na chombo cha usalama SIMU yake ikiwa hewani husaidia chombo cha usalama kujua mahali alipo na kumkamata kirahisi. Sasa Hawa Vodacom kumzimia Simu mtuhumiwa anaye tafutwa wana LENGO gani?

4.Makosa anayotuhumiwa Kabendera hayahusiani na mambo ya Mawasiliano kwa nini Vodacom wamfungie huduma mteja wao ambaye amelipia huduma?

Maswali haya yanatuonesha Vodacom sio Mtandao salama tena kwetu watanzania. Unashirikiana na wahalifu, watekaji, wauaji, na watesaji hapa mchini.

Pili Vodacom wameonesha dharau kubwa sana kwetu watanzania. Kama wanaweza kukufungia Mawasiliano mtu ambaye huna hatia ili udhurike na watekaji watashindwa kuvujisha habari zako?

Je, Pesa zetu tunazo ziweka huko M.PE.SA ni salama tena? Huwezi amka ukaambiwa akaunti yako imefungwa na pesa zako zimechukuliwa kwa maagizo toka juu?

Kitendo hiki hakipaswi kufurahiwa. Vodacom wanapaswa kuchukuliwa hatua na sisi wenyewe wananchi ili kulinda usalama wetu na kuwaonesha kuwa tumefedheheshwa sana na tukio hili.

Hatua za kuchukua ni hizi wana bodi.
1. Kuacha kutumia mtandao wa Vodacom na mitandao mingine kama hiyo inayo shirikiana na waharifu kutesa raia wema.

Vodacom wamejidhihirisha pasi na shaka kuwa ni hatari kwa usalama wetu hima hima tuchukue hatua haraka.
Asanteni.

Huu ndio mwanzo wa anguko la Vodacom!

Na ujue hii backclash kutoka kwa wananchi imewauma wamekimbilia kutoa Press Release!

Wananchi tuna nguvu sana!

Na Vodacom nitaichukia daima just like CCM controlled stupid TTCL!

TBC and TCRA included!

Stupid organizations!
 
Vodacom ilitakiwa waombe kibali cha mahakama Kwa maandishi pindi TCRA au mamlaka yeyeto ikitaka taarifa za MTU.Wawe na ushahidi wa copy sio mambo ya kupigiwa tu Simu unaagizwa lete taarifa za Fulani wanatoa,je aliyedukuliwa akiwaburuza mahakamani kudai fidia Kwa kosa kutolinda siri zetu ana kosa? Maana tunapojisajiri Voda tumeingia mkataba na Voda na si mamlaka zingine.Apple waligoma kutoa taarifa za mtuhumiwa hadi walipopata barua za mahakamani kama defense kwao.
 
Sidhani kama ni voda tu, mitandao yote kwa sasa imeunganishwa kwa ajili ya usalama,na ukitoka toka kimya kimya sio mpaka sisi huku tujue,Me binafsi natumia voda na nitaendelea kutumia kama kawaida na daima tusikubali kuongozwa na hisia fulani,fikiria kabla ya kutenda
umeandika upumbavu gani ??na wewe ukitaka kubaki baki kimya kimya.......wadukuzi ni voda tu wengine unawajua wewe na uzwazwa wako!voda ni makaburu warudi kwao Tanzania hatuwataki tena!
 
Back
Top Bottom