Sheria gani we nae?Huwezi kuikimbia sheria hata uende wapi, ukitaka kuikimbia sheria jitahidi uitii na kuiheshimu.
.
Hii hapa chini ni tweet ya Mbunge Halima Mdee ikiwa ni miongoni mwa tweets nyingi za watu maarufu wanaokusudia kuacha kutumia mtandao wa Vodacom:
Nimekuwa Mteja wa VODACOM kwa MIAKA zaidi miaka 10!! Najua nitaathirika kimawasiliano pale nitakapo SITISHA matumizi ya NAMBA yangu!! Lakini kwa HAYA yanayoendelea, NIKO TAYARI KUJIONDOA VODACOM!!!Tususie BIDHAA za WAKANDAMIZAJI!!!
Mdee hana madhara huwa anaweka kifurushi cha 5000/= mwezi mzima aende tu kwa SIZE yake Joti