Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

USIVUNJE LINE YA VODA BILA KUKOPA TUWATIE HASARA KWANZA MBWwA HAWA
 
Hahahahah
Ona huu ujinga yani umeshabebwa na mazwazwa ya kisiasa tayari?

Wewe una siri gani Mpaka voda wahangaike kuliweka hadharani?

Pumbavu kabisa! Basi usitumie simu kabisa, maana kama una baya lolote utapatikana tu.

Mm siwezi kuhangaika eti nisuse mtandao kisa huo ujinga wenu wa siasa. Hivi kwa akili yako unafikiri kuna mtu anahangaika na kufuatilia kutongazana kwako kila siku na kina mwajuma.?
 
Eti Tuikatae voda wewe na nani
Na mtandao upi Utumie labda hama nchi
Ukafanye kinyume na utaratibu lakini Hakuna sehemu utakimbilia ukawa salama kama wewe ni mvunjifu wa sheria na taratibu wa Nchi
Nani alievunja sheria? Sheria ipi iliyovunjwa?
 
Nashauri Vodacom sasa waende hatua moja mbele,hasa kwa wale wanaowashambulia mitandaoni bila sababu

Tunajua wanatumia huduma zenu za SMS,mpesa na kupiga simu.

Basi kwa kasi ile ile mliyoanza nayo,anzeni kuwashikisha adabu wale wote wanaowaandama

Anzeni na wanandoa,halafu mnapanda polepole mpaka wanyooke
Mkuu hawa wengi ni wateja wa Tigo au Airtel. Hakuna mteja wa Vodacom hapo.Kwanza unajua kubadili line kwa sababu za KIPUUZI sio rahisi?Kama mtu anaweza renew line kusave tu watu muhimu wasipotee, Leo anaweza vunja line kisa upuuz wa wanasiasa kudukuliwa?
 
Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Ni mjinga na limbukeni atakaueungana na hii kampeni
Hakuna mtandao ulio salama kwenye issue ya kudukuliwa.
 
Afadhali ghali lakini BORA.. vifurushi vyao vya data vina speed ya hali juu. ukilinganisha na hayo mamitandao mengine, Tigo ndo kabisaa.Jana nilijaribu kutumia tigo kwenye YouTube, aisee nilikesha. Yaan kitu cha kuangalia dakika 10 nilitumia dakka 45.Ina play dakika moja, inaganda kwa dakika 5.Halafu inaplay tena.
Siwezi kuhama Vodacom Tanzania
Vodacom ni ghari lkn kwa mtumiaji wa internet hawezi hama Voda. Achana na hawa internet ni kuingia JF.Kuna muda unahitaji internet ya kasi umalize shughuli zako mapema, sasa kuna mtandao bora kwa internet zaid ya Voda?
 
Vunja
FB_IMG_1564572214456.jpeg
 
Vodacom ni w-a-s-e-n-g-e......wanatoaje siri za wateja bila ridhaa ya mteja?ushenzi tu huu mamayo zao
 
Na wewe you should!

Mnyonge asie na nguvu anaonewa,anakua bullied sababu tu ni mwandishi wa habari lazima atetewe na wote!

Hata kama ni sheria,sheria most often times ni favourable kwa watawala na sio wanyonge!

Mtu unamnyima mnyonge kufanya kazi yake halali kutokana na weledi wa taaluma yake kuisaidia familia yake kama wewe na mimi na huyo mwenye madaraka!

Wanyonge ni lazima wawe centre of everything!Watumiwe kama yardstick ya ku-improve maisha na comfort kwa wanadamu wote!

Sio regime na watawala wenye priveledge ya kila kitu!

Na hii itawezekana kwa kususia kampuni za simu. Viva 😉😎
 
Habari zenu wana wa nchi na poleni kwa majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taifa.
Baada ya tafakuli ya kina juu ya tukio la kukamatwa Mwandishi Erick Kabendera jana na Kufungiwa huduma ya mawasiliano ya simu yake na Vodacom nimeoma kuna mambo kadhaa yana tia simanzi sana juu ya Usalama wa raia yeyote kwa sasa hapa nchini.

Mwandishi Erick Kabendera anasema alipoona Mawasiliano yake yamefungwa aliwapigia vodacom na kuwauliza kulikoni? Vodacom wakamjibu kuwa wameagizwa na TCRA wafunge mawasiliano yake. Lakini baadae TCRA ambao ndio wenye jukumu la usimamizi wa Mawasiliano wakakanusha kuwa hawahusiki na tukio hilo na wala sio kazi yao kufungia watu mawasiliano.

Majibu ya TCRA yanatupa maswali magumu juu ya Mtandao wa Vodacom kama ifuatavyo.

1. Kwa nini Vodacom wanawaficha wahusika halisi waliotoa amri ambayo kama waliona ni halali?
2. Lengo halisi la kufunga mawasiliano ya mwandishi ni nini? Ili akitekwa asipatikane hewani na kuwasiliana na ndugu zake?

3. Kama mtuhumiwa anatafutwa na chombo cha usalama SIMU yake ikiwa hewani husaidia chombo cha usalama kujua mahali alipo na kumkamata kirahisi. Sasa Hawa Vodacom kumzimia Simu mtuhumiwa anaye tafutwa wana LENGO gani?

4.Makosa anayotuhumiwa Kabendera hayahusiani na mambo ya Mawasiliano kwa nini Vodacom wamfungie huduma mteja wao ambaye amelipia huduma?

Maswali haya yanatuonesha Vodacom sio Mtandao salama tena kwetu watanzania. Unashirikiana na wahalifu, watekaji, wauaji, na watesaji hapa mchini.

Pili Vodacom wameonesha dharau kubwa sana kwetu watanzania. Kama wanaweza kukufungia Mawasiliano mtu ambaye huna hatia ili udhurike na watekaji watashindwa kuvujisha habari zako?

Je, Pesa zetu tunazo ziweka huko M.PE.SA ni salama tena? Huwezi amka ukaambiwa akaunti yako imefungwa na pesa zako zimechukuliwa kwa maagizo toka juu?

Kitendo hiki hakipaswi kufurahiwa. Vodacom wanapaswa kuchukuliwa hatua na sisi wenyewe wananchi ili kulinda usalama wetu na kuwaonesha kuwa tumefedheheshwa sana na tukio hili.

Hatua za kuchukua ni hizi wana bodi.
1. Kuacha kutumia mtandao wa Vodacom na mitandao mingine kama hiyo inayo shirikiana na waharifu kutesa raia wema.

Vodacom wamejidhihirisha pasi na shaka kuwa ni hatari kwa usalama wetu hima hima tuchukue hatua haraka.
Asanteni.
Voda wanatakiwa kujisahihisha
 
Jamani seriously tukusanye ushahidi wa kutosha kulishtaki hili limtandao kwa mama yao Taasisi ya kimataifa ya udhibiti wa mawasiliano. Baada ya Lowasa na yule mkuu wa mafisadi Rostam kupatana na dictator sasa wanatumika!! Tukusanye ushahidi wengine ni wazoefu tuwashtaki kwa mama yao haraka sana.
 
Back
Top Bottom