Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,275
- 31,404
Naona wanamtafutia angle Gwajiboy,
Wanasema anapotosha wakati huo huo wanasema chanjo ni hiari!
Huo upotoshaji wa Gwajima unatoka wapi ikiwa anachokikosoa Ni hiari ya mtu kukipata?
Sure am telling you, this process will no longer be under person's willing, it's going to be a must!!..
Japo Mimi simuamini Gwajima Kama mtumishi wa Mungu Bali Kama mtanzania tu.
Kuna yule waziri mstaafu wa maliasili na utalii ( kigwangala) eti anahimiza watu wawahi kuchanjwa kwa kuwa chanjo ni milioni moja (only 1 million vaccines) ili wasikose, najiuliza hivi ubongo wa huyu jamaa upo sawasawa? Hata tukijitolea siku moja sote tuchanjwe zitatosha
This is a big dilemma