The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,043
- 2,194
MIMI NAUNGA MKONO HIYO PROJECT, NI HV KAMA TUKIFANIKIWA KUUTOKOMEZA UCHAWI KATIKA TAIFA HILI, MAENDELEO NI KUGUSA TU, HATA UZALENDO UNAPUNGUZWA NA UCHAWI, USINIULIZE KVP.
Wanaitwa lambalamba🤣🤣🤣🤣🪑Mwaka huu huu Nakumbuka Mkuu wa Walaya na mapolisi walikataza hayo mambo ya kina kamchape (wasaka wachawi)
Naona wamewaingiza kibishi bishi.
hii komenti Yako siipendi😉❤️Aisee 😃😃🤔🤔
Uchawi haumalizwi kwa uchawi, huko ni kuutuliza/kuupooza tu kwa muda Ila baadae hali hujirudia au kuwa mbaya zaidi.Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.
It is none of my businesses😎😎hii komenti Yako siipendi😉❤️
wewe👉👉👉nani kakufundisha kutukana watu wazima?It is none of my businesses😎😎
Wanawatambuaje hao wachawi?Ulaya ukigundulika ni mchawi unauliwa kimya kimya, kama wewe si raia wa ulaya unakuwa depoted na hurusiwi tena kukanyaga nchi yao milele yote. ulaya uchawi ni laana mbaya sana hawataki kuisikia.
Am sorry 🙏🙏wewe👉👉👉nani kakufundisha kutukana watu wazima?
njoo pm nikupe adhabu nzuri😉Am sorry 🙏🙏
🤣🤣Ulaya ipi hiyo mkuu?Ulaya ukigundulika ni mchawi unauliwa kimya kimya, kama wewe si raia wa ulaya unakuwa depoted na hurusiwi tena kukanyaga nchi yao milele yote. ulaya uchawi ni laana mbaya sana hawataki kuisikia.
Naweza kupata business card Toka kwa hao makontractaNiko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.
Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.
Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World sema huu Hauna mazingira ya rushwa, baada ya mchakato wa zabuni Wacongo na Wanigeria walishinda.
Kabla ya kuanza kazi makotrankta huwa wanaingia Kijiji husika kimyakimya wanapita kwenye mipaka ya Kijiji na kuweka kufuli (hamna mchawi hatakayeweza kutoroka Wala kupitisha silaha zake wakati zoezi likiendelea.
Baadae makotrankta uingia ndani ya Kijiji kuanza kazi rasmi.
Kuna vitu vya ajabu zimetolewa kwenye majumba ya watu sio poa.
Nitaendelea kuwaletea update baadae kidogo wakuu
Khakhakhaaaa!!Naweza kupata business card Toka kwa hao makontracta
nlikua namaanisha pole 😂😂njoo pm nikupe adhabu nzuri😉
Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World