Daz911
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 737
- 1,218
ndiyo maokoto ya habari za uwongo na kweliMaokoto tena😃😃😂

Mnipe kazi niache kushinda jf siku nzima😃😃Ujobless upi huo
Hamna mpya leo😃ndiyo maokoto ya habari za uwongo na kweli
Ni wewe tu, hata kuolewa itakuwa sehemu ya kazi pia😁Mnipe kazi niache kushinda jf siku nzima😃😃
Dada yako anaomba ushauri, unique flowerHamna mpya leo😃
Ushauri wa nini tena..em nitag nije nimshauri dada yangu kipenzi 🤗🤗Dada yako anaomba ushauri, unique flower
Nitarudishwa nyumbani siku mbili nyingi 😂😂😂Ni wewe tu, hata kuolewa itakuwa sehemu ya kazi pia😁
Labda ukienda kwingine🙂Nitarudishwa nyumbani siku mbili nyingi 😂😂😂
Hapana kwakweli 😃😃😃Labda ukienda kwingine🙂
Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.
Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.
Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World sema huu Hauna mazingira ya rushwa, baada ya mchakato wa zabuni Wacongo na Wanigeria walishinda.
Kabla ya kuanza kazi makotrankta huwa wanaingia Kijiji husika kimyakimya wanapita kwenye mipaka ya Kijiji na kuweka kufuli (hamna mchawi hatakayeweza kutoroka Wala kupitisha silaha zake wakati zoezi likiendelea.
Baadae makotrankta uingia ndani ya Kijiji kuanza kazi rasmi.
Kuna vitu vya ajabu zimetolewa kwenye majumba ya watu sio poa.
Wachawi wa Kigoma wanajua mpaka wanajua tena, yaani ni Kama wachezaji wa World Cup sema ndio hivyo tena na hawa makontrakta Ni Kama marefa wa Uefa, wanaona hata bila VAR. Ukileta kontrakta levo za RAMADHAN Kayoko anabadilishwa kuwa nyau fasta.
Nitaendelea kuwaletea update baadae kidogo wakuu
Hio ndio asili ya mwafrica mangiWakati India juzi wamefika mwezini, sisi tupo bize na mambo ya uchawi na uganga! Katika ubora wetu
OkSafi sanaaa wakandarasi roka DRC & NIJA, Wachawi washenzi sanaa! Wanasumbua
Kwa Mbeya ndivyo wanavyoitwaWanaitwa lambalamba🤣🤣🤣🤣🪑
uchawi upo lakin wa kigoma unatisha, yani huko watu kufufuka ni kawaidaNiko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.
Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.
Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World sema huu Hauna mazingira ya rushwa, baada ya mchakato wa zabuni Wacongo na Wanigeria walishinda.
Kabla ya kuanza kazi makotrankta huwa wanaingia Kijiji husika kimyakimya wanapita kwenye mipaka ya Kijiji na kuweka kufuli (hamna mchawi hatakayeweza kutoroka Wala kupitisha silaha zake wakati zoezi likiendelea.
Baadae makotrankta uingia ndani ya Kijiji kuanza kazi rasmi.
Kuna vitu vya ajabu zimetolewa kwenye majumba ya watu sio poa.
Wachawi wa Kigoma wanajua mpaka wanajua tena, yaani ni Kama wachezaji wa World Cup sema ndio hivyo tena na hawa makontrakta Ni Kama marefa wa Uefa, wanaona hata bila VAR. Ukileta kontrakta levo za RAMADHAN Kayoko anabadilishwa kuwa nyau fasta.
Nitaendelea kuwaletea update baadae kidogo wakuu
Mmh usilolijua,,, hadi mavitabu wanayo halafu huko uchawi wazi sio wa kifichoUlaya ukigundulika ni mchawi unauliwa kimya kimya, kama wewe si raia wa ulaya unakuwa depoted na hurusiwi tena kukanyaga nchi yao milele yote. ulaya uchawi ni laana mbaya sana hawataki kuisikia.
Kumbe ndiyp maana Zitto na Mama yake Diamond hawataki kwenda kwao japo waliitwaNiko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.
Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.
Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World sema huu Hauna mazingira ya rushwa, baada ya mchakato wa zabuni Wacongo na Wanigeria walishinda.
Kabla ya kuanza kazi makotrankta huwa wanaingia Kijiji husika kimyakimya wanapita kwenye mipaka ya Kijiji na kuweka kufuli (hamna mchawi hatakayeweza kutoroka Wala kupitisha silaha zake wakati zoezi likiendelea.
Baadae makotrankta uingia ndani ya Kijiji kuanza kazi rasmi.
Kuna vitu vya ajabu zimetolewa kwenye majumba ya watu sio poa.
Wachawi wa Kigoma wanajua mpaka wanajua tena, yaani ni Kama wachezaji wa World Cup sema ndio hivyo tena na hawa makontrakta Ni Kama marefa wa Uefa, wanaona hata bila VAR. Ukileta kontrakta levo za RAMADHAN Kayoko anabadilishwa kuwa nyau fasta.
Nitaendelea kuwaletea update baadae kidogo wakuu
Anaona amekuweza, yaani Kama mtu anavyokuweka selo ijumaa jioniwachawi bana.hivi akimlaza mtu kwenye mwembe anafaidika nini..?