Kama una kijana hana la kufanya nyumbani, usimuache na watoto wa kike au wa kiume peke yao

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Kisa cha kweli,

Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu.

Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto anataka kumfunga mkosaji ambaye ni ndugu kifamilia ila mkosaji anatoroka kwa msaada wa bibi wa aliyelawitiwa.

Mpaka sasa mlawiti hajulikani alipo na mlawitiwa mtoto wa kike 9 yrs amepimwa hispitali majibu yanaonyesha nyuma kaharibika.

NB: Wazazi kuweni karibu na watoto hali mbaya kwa sasa.
 
Miaka 5 jf na unaandika namna hii.🥵🥵🥵

By the way tutaliangalia na hilo🙏🙏
 
Mtoa mada unaifahamu tofauti ya kubakwa, kulawitiwa, kunajisiwa?? Kama unafahamu basi habari yako iko sawa, ila kama hufahamu itakuwa umechanganya mambo.
 
Ujumbe ni kwa wazazi, kuzaa si kazi na suala la kulikimbilia kama hujajipanga kwa kila hali kuhakikisha unatoa malezi, uangalizi na Upendo kwa watoto wawe wadogo au watu wazima!
 
Back
Top Bottom