Mara nyingi ndugu wa kike na wa kiume hawapatani na kuna chuki kati yao

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Anyaashimika!

Kwa kweli leo nimekokotoa kitendawili!
Tabia atakayokua nayo mwanaume kwa wanawake itachangiwa na maisha aliyoishi na ndugu zake, hasa wa kike wakati wa balehe.

Mara nyingi mtoto wa kiume huelewana sana na dada zake na si wadogo zake wa kike(au wadogo zake wa kike wanaolingana miaka).

Wakati wa balehe, maisha unayoishi na ndugu zako wa kike yataamua uwe na attitude ipi kuhusiana na wanawake na maisha yako ya kimahusiano.

Aisee mimi nilikuwa na hasira sana... yaani sometimes nikimuona tu msichana nang'ata meno kwa hasira. Sometimes mpaka damu inatoka.

Nimekuwa natafuta mzizi wa tatizo kipindi hiki chote. Hatimaye nimepata jawabu, way back in my puberty age with my siblings.

Hapo ndipo mambo yote yalipoanzia. Muda mwingine nilikuwa nalia peke yangu kwa hasira dhidi ya wanawake.

Nilishawaza nitafute bastola haraka ili nikiingia ndoani soon nifanye kitu kwa mchumba wangu. Nilishawaza nimchinje tu out of no reason. Ila yote hayo yalikuwa batili.

Mdogo wangu wa kike fulani alikuwa chanzo cha haya... wakati wa balehe hakuwa msikivu na alikuwa hamuheshimu mama.

Nilishuhudia haya yote hivyo yalijenga hasira na chuki kuanzia kwake mpaka kwa wasichana wengine.

Mpaka leo hii sina mazoea naye sana ila angalau... ila wasichana wengine niliwachukia bure tu. Mchawi alikuwa huyu ndugu yangu wa kike.

Nilishawaza ninywe damu ya mwanamke siku moja baada ya kumpiga risasi ila nashukuru haya yote yamefika mwisho leo.

Sina chuki yoyote na wasichana humu. Natoa rai na wito. Kuweni makini na malezi ya watoto wenu wa jinsia tofauti wakati wa balehe.

Hapo ndipo wanapo adopt tabia mbali mbali watakazoenda nazo ukubwani.

Evelyn salt ulinituhumu mno kuwa nina matusi, sina matusi ilikuwa ni uchawi uliopandwa na huyu sibling wangu.

Wanawake tuwapende, nao watupende. Nimejionea athari za malezi ya kuwachanganya vijana wa kike na wa kiume pamoja.

Naanza kupata hasira tena ila najizuia.

Anyway yamekwisha yote.
 
Ugomvi huanziaga kwenye kuelewana mahali
 
Hujakosea. Na kaka yako hujawahi mjibu vibaya?
Hajawahi. Mama yangu huwezi kumjibu vibaya, unaanzia wapi yaani? Tumenyooshwa tangu tukiwa wadogo.

Nikwambie tu kwamba hata wanaume wenye tabia za kupiga wake zao ni athari za malezi, wanawake wenye kiburi ni athari za malezi.
Watoto huathirika na tabia za wazazi wao. Ipo hivyo.
Hata hawa kataa ndoa unao waona wamejaa humu ukichunguza vizuri ndoa za wazazi wao hazikuwa na afya.
 
Back
Top Bottom