makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,972
- 104,397
ACha akili za nyege mdogo wangu...Msalimie sana ila mwambie kesho zamu yangu, umesema ni Ndondo si ndio?
Ndondo ilimaanisha ni game isiyo rasmi...
Huyu ni WIFE.
ACha akili za nyege mdogo wangu...Msalimie sana ila mwambie kesho zamu yangu, umesema ni Ndondo si ndio?
Mie nikisema usioe mtoto mdogo wanaona natania, oa mtu ye anaingia menopause we bado nguvu ziko pale pale ama ndio zinaishia ishiaNdiyo msikilize sasa!
Inabadilika na nguvu zinapungua kwa wanaume wengi, plus yale magonjwa ya utu uzima so mambo yanabadilika sana. Kuna mbaba flani kwenye uzi wangu mmoja alielezea vizuri, nikiona ile reply nitakutag .
HIi ni kawaida viungo vya mwanadamu kuchoka umri unavyosogea, mzee wa miaka 60 hawezi kuwa sawa na wa miaka 40 ama 50 ambae amejitunza, hawezi kuwa sawa na wa 20,25,30+10yrs si tutarudi na visasi plus hayo maumivu dadaake🤔
Anyways.. hiyo 🍆 sikuwahi kujua kama inabadilikaga when someone gets older🤦🏽♀️
Hell nah😂Ndio nashangaa ukaanze kukafundisha weka hivi kaa vile shika hivi🫢
hapana🚮
Enjoy ipasavyo ya mtu wa 24 daima, achana na vifungoSawa la mama☺️
Sawa unitag, mie nimerelax najua hazilegei kumbe najidanganya?😱 si wanajisifiaga ng’ombe hazeeki maini😀
Hakika. Maisha siku zote hayajanyooka kwa hiyo lazima tu tukabili Kila kinachokuja.Pole yake dah hiki kitu kwenye ndoa kikitokea huwa ni sad sana aisee
Nakubaliana na wewe kabisa,matatizo hayakimbiwi bali hukabiliwa,Hakika. Maisha siku zote hayajanyooka kwa hiyo lazima tu tukabili Kila kinachokuja.
Andiko la mleta mada lina uhalisia mdogo sana. Point ni moja tu: ni muhimu kujaribu kuziishi ndoto zako japo hakuna guarantee kwamba ukijitahidi ni lazima utafanikiwa. Kiuhalisia ni ngumu kumpata mwanaume/mwanamke ambaye ana vigezo vyote unataka kwa kutumia akili yako tu. Na hii ni kwasababu sisi binamu si wakamilifu kwenye kilakitu. Unaweza muona mtu ana vigezo vyote unavyotaka na pengine ukawa sahihi. Ukaingia kwenye relationship mazima, halafu mambo yakabadilika (miili, afya, uchumi, tabia hubadilika). Ukajikuta umeharibiwa beyond repair. Halafu life misfortunes zinaweza mtokea hata mwenza wa age yako.Naandika, nafuta, naandika tena nafuta, nahisi nikianza kuimagine nitalia kwa sauti niamshe huyu mzee mwenzangu anayekoroma hapa pembeni 🤣 🤣 🤣
View attachment 3564793
Wasipokusikiliza hawa akina Mallerina na Seran , basi na wao in 10 years watarudi baada ya maumivu na kuwaasa wadogo zao!
Hakika mkuu.Nakubaliana na wewe kabisa,matatizo hayakimbiwi bali hukabiliwa,
matatizo mengine yanatupa funzo ili next time tuchukue tahadhari zaidi,
Facing any situation in life requires accepting reality,maintaining a resilient mindset and taking actionable steps even when situation are challenging.
Duh
Kazi ipo mpaka naogopa ku reply
🤔🤔🤔
Kwa watoto wenzie
24yrs jamani anajua hata mbavu changa zilipo🤣🤣
Hivi Baba mchungaji kwenye hiki chama umejiunga lini tena na weyee? 🤣Kataa ndoa tunakula maisha tu...🤣
Andiko lako hili pendwa umemshirikisha Binti wa zamani kungwi wa Jf?Jamiinimetushape kwamba ndoa ni kitu cha lazima sana vinginevyo hamna urafiki,mapenzi au mahusiano ya namna yoyote kati ya me na ke
Na hii ndo inasababisha ndoa nyingi kuwa za hovyo kuliko maelezo
Watu wangekuwa wanadate bila kufikiria au kuweka kipaumbele cha ndoa ingekua ni rahisi sana mtu kuweka kila kitu chake mezani....yaani kumjua vizuri mtu...na ku enjoy sana
....ila sasa kwa kua focus ni ndoa
Watu wanaficha mambo yao,kila mtu anakua mnafiki aonekane mwema alafu mkishaingia kwenye ndoa hapo ndo mna unleash ur full potential ndo inakua suprise sasa kumbe huyu yupo hivi...
Mwishoni migogoro,,,,mwishoni michepuko.... dakika za jioni kataa ndoa mwanachama mpya
....kingine kwa sababu jamii inakuafanya uone kufunga ndoa ndo fainali
So kipindi cha uchumba watu wanajituma secta zote....baada tu ya ndoa kila kitu kinasimama
....mimi binafsi ningeweza kurudisha siku nyuma nisingedate mtu mzima kwa kigezo ndo waoaji wazuri
Ukishaolewa sasa ndo unaona vitu ulivyoviacha nje huko
....kama bado hujaoa wala kuolewa
Date for looks,date for good sex,date for care...good attention
Ingia kwenye mahusiano na mtu ambae
Box zote za furaha ana zitick....please achana na mawazo ya huyu ndo muoaji au huyu ndo wife material
Unapishana na vitu ambavyo ulitakiwa ku enjoy..
Sawa wa 40 atakuoa ukiwa na 25 or 28...but imagne a 24 year old d$ck...
Imagne all thise pleasure...
Unamis sehem muhimu sana ya maisha yako kwa kufocus na ndoa
.....haya mambo hayana formula but jamii inavyo force mambo ya ndoa na ndo matatizo mengi yanazidi kutokea
Kwa sababu watu wanaacha kuenjoy,kujuana na kupendana vizuri wanawaza tu ndoa
Date ur age...young than you a bit au akuzidi pia kidogo
...then enjoy mapenzi...
Kama hicho kifungo cha kujitakia kitakuja let it be automatically
Focus kwenye ku enjoy ,utakuja kuzikumbuka hizo siku
Ni hayo tu