Shetani anavaa maumbo mawili
1. Umbo la hali, hapo shetani anaelezwa kuhusika katika kazi iliyotendeka kinyume na mapenzi ya mungu. Uharibifu, na uhalifu wa maisha yaliyopo
2. Shetani katika umbo la nyama, hapo anaazima umbo la mtu analitumia kuishi kama binadamu. Huyu mtu kwa kumuangalia anafanan na watu wengine lakini ndan yake kuna shetan kakaa mule.
Nani anaweza kuelezea fumbo hili na katika circle yake akatambua ni nani hasa huwa anauazima mwili wake kwa shetani ili upate kunywa juisi na kufanya mambo mengine ya kibinadamu?
Cc.
TUKANA UONE