Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,371
- 85,543
Hayo ndio mambo sitaki kushuhudia😱Unakapa doggy kanakuja kichwani kuanza kukumbeleza kanajua unalia!
Hayo ndio mambo sitaki kushuhudia😱Unakapa doggy kanakuja kichwani kuanza kukumbeleza kanajua unalia!
Ooh basi mimi nikajua kuwa bidada yupo age hiyo ana enjoy utamu wa rika nikatamani nionje pia na sio ndoa sasa mwee! Kumbe kaolewa na mbaba🤭Shemej yangu Seran. Gmorning to You.
Hajasema ukajaribu ndoa na Gen Z 😂😂😂, Hebu puuzia hilo wazo jipya.
Bidada kaolewa na mtu aliyemzidi umri. Let say 12+ yrs.
Interest yao kubwa kwa wakat ule ilikuwa ni ndoa, na mwanaume akil ishatulia nna ujana amemaliza ila yeye sasa ndio mwil wa ujana unachemka na ana nguvu. So vibe haikumatch. Na Vibox vingne havikutick. (Vilitick mwanzon tu kabla ya ndoa😂😂😂😂).
So utaona hapa issue sio Ndoa. Issue ni aliolewa na nani.
So akashaur watu waoane wakiwa agemate, au mzidiane kidogo na pia mhakikishe energy ina match.
She Got a point.
watu wasiingie kwa ndoa Kwa kigezo cha lazima kuoana.
Tunaangalia mzigo sasaMimi nna miaka 22 Ntafaa?
Unawashauri vijana waoe mishangazi 😂 😂Mie nikisema usioe mtoto mdogo wanaona natania, oa mtu ye anaingia menopause we bado nguvu ziko pale pale ama ndio zinaishia ishia
Wamekugusa penyewe, hebu jipigie promo kijana tusikie sifa zako.Ndo uutolee mfano umri wangu?
anyway PM iko wazi shangazi
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi Baba mchungaji kwenye hiki chama umejiunga lini tena na weyee? 🤣
Sasa mie nina miaka 35 nikaoe kitoto cha miaka 20, wakati mimi nina 50, chenyewe ndio kwanza 35 dada wa makamo.. nikifikisha 60, yeye ndio 45, mimi 65 ub00h haudindi mpaka ubustiwe kwa kupigwa shoti , yeye ndio 50 bado anautaka. 😂🤣Unawashauri vijana waoe mishangazi 😂 😂
Umeelezea scenario vizuri sana, ila 65 mbali sana wengine 50 to 60 tayari inabidi abustiwe mashine na kama anaweza kunyanyuka mwenyewe basi dakika 5 nyingi keshamwaga, hapo mke kupewa tena mpaka baada ya wiki mbili 😂.Sasa mie nina miaka 35 nikaoe kitoto cha miaka 20, wakati mimi nina 50, chenyewe ndio kwanza 35 dada wa makamo.. nikifikisha 60, yeye ndio 45, mimi 65 ub00h haudindi mpaka ubustiwe kwa kupigwa shoti , yeye ndio 50 bado anautaka. 😂🤣
Tukifika 30+ nyege zinakuja na fujo sana!Mnavyoonaga mna haki ya kupewa posho ya kufanya sex, mimi nikawa nafikiri nyie hamnaga nyege. Huwa mnafanya tu kama favor kwa mwanaumr.
Mbona mimi sijamuelewa mleta mada, hem nieleweshe basi😅Nàandika nafuta nàandika nafuta..... Mtoa mada umeseme ukweli na atakaesikia na aelewe.
Na mimi nilisema hivyo hivyo, kila nikiandika naona maneno hayatoshi nafuta 😅😅🤣Nàandika nafuta nàandika nafuta..... Mtoa mada umeseme ukweli na atakaesikia na aelewe.
Basi mshaurini mwenzenu awalipe vijana wamtatulie tatizo lake.Tukifika 30+ nyege zinakuja na fujo sana!
Depression is constant🤣Si ni nyie humu kila siku mnasema ndoa sio sexy tu?
Hivi mtu tayari una familia watoto wanne bado unawaza dudu la yuyu sidhani kama ingekuwa kuoana wa same age kama mambo yangekua kama yalivyo, situation ingekuwa mbaya zaidi.
N vyema kuoa au kuolewa na mtu uliemridhia na usijutie maana hayo maamuzi uliyafanya mwenyewe kwa upendo.
Kuteseka kuko pale pale.Enhe tia neno mtaalam wa maswala ya dipresheni mbalimbali. Kwanza tueleze hii n aina gani ya dipresheni