Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,320
- 10,184
Natoka katavi Mjini mkuu, Njoo PM.Anhaa dah uzee huu nilishasahau bila kunikumbusha inakuwa kipengele, ulisema unatokea wapi kijana?
Kuhusu mzigo weka hapa huku ukifika ni kazi kwenda mbele hakuna huo muda wa kuchunguzana!
Hapa mashabiki wengi.