secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,293
- 43,423
Mkuu, kwenye masuala ya mahusiano ya mapenzi Mimi naamini hakuna Unconditional love (upendo usio na masharti, ambapo mtu anapenda mwingine bila kuweka vikwazo au masharti yoyote).Iko mambo hapo.
Mara zote, mwanaum/mwanamke humpenda mwenzake Kwa sababu fulani fulani hata iweje.